Sipendi Ujinga Special thread!

Hahah[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.

sipendagi ujinga kabisa mimi
Daaah aisee nimecheka sanaaaa
 
Kuna Demu kamwita jamaa ake et Baee...!!! Jamaa kuckia vile akajua ameitwa BASHITE Demu saiv yupo muhimbili ana drip ya kumi..!!! Jamaa hapendi ujinga
 
Cheki nilichofanya
Nimeingia chumbani kwangu nikakuta panya wamekula dawa zangu za minyoo. Na mm kwakua ujinga sipendagi, nikachukua dawa yao nikainywa.
Sahivi naona nipo nimezungukwa na watu wamevaa madela meupe.

Sipendagi ujinga kabisa mm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…