Sipendi uongo

Upo serious halafu hutaki kunijibu huko pm wewe ni single kweli?

Ninakutaka ujue hebu nijibu sasa
 
Nakutakia kila la heri ila utafiti wa kisayansi unasema kuwa sisi wanaume tunajidanganya mara nane zaidi ya vile tunavyoweza mdanganya mtu mwengine!!
Sina la kuongeza zaidi ya kusema NA IWE.
 
Kudanganywa lazima maana mkiambiwa ukweli hatutafikia lengo kuu la wanaume wa milenia!
10. Kuchakatana!
 
Ni kwamba wanaume wenye wake ndo wanamuonekano mzuri na wakuwavutia. kwa sababu wanafuliwa na kupasiwa.so nikija mimi pm na yeye akaja na wote tukakutumia picha ni wazi utaangukia kwa yule mtanashat.na hapo ndipo mnapofell tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka vigezo kabla Serikali haijakataza kuzurula tuwe tumemaliza yakwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jisemee wewe personally.
Umetumia sana wingi.Bwana utakayempata hatokuwa wa hizo nafsi unazozisemea.
 
Borah umetusemea mana kuna wanaume cjui wameoa midoli yaan kutwa wanatafuta nyuchi mpya. Ni uchafuu.
 
Borah umetusemea mana kuna wanaume cjui wameoa midoli yaan kutwa wanatafuta nyuchi mpya. Ni uchafuu.
Kweli jamani yaani kutwa kutusumbua hata sisi tunataka wetu tupumue nawao waliwaoa waliridhika na nyie basi watulie
 
Mimi dini yangu inaniruhusu kuongeza Muke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…