Sipendi wanaohalalisha Infidelity


Kakague kule naweee!! Nshakakandamiza tayari.

Ili muwe na uhakika kuwa hatuwacheat labda mtuweke kwenye handbag zenu mtembee na sisi 24/7. Na hapo pia bado tunaweza kuwacheat kwa imaginations au kwenye ndoto. Ikishindikana hata kwa sabuni kwakuwa najua hamtaweza kuambatana na sisi mpaka ch'ooni. LOLZ!
 

Hivi mtu anaamini kwamba spouse wake hatoki nje au mtu anajishawishi kwamba spouse ni wake pekee!
I know how ugly a cheat becomes when someone finds out about it!
 


Wewe naona unaishi katika dunia ya kusadikika na kuamini kwamba ndani ya ndoa zote kila kitu ni shwari kabisa. Kwanini mke/mume waendelee kuishi katika ndoa ambayo haina mapenzi haina kuthaminiana? Ni kwa sababu tu ya kutaka kuwadanganya walimwengu kwamba ndani ya ndoa yenu kila kitu ni shwari kabisa? Ni kweli wengi ndani ya ndoa wanafikiria mara mbili mbili kuachana ikiwa wana watoto katika ndoa hiyo na kuona kwamba kama wataachana na watoto wao bado wadogo basi wanaweza kabisa kupata shida kubwa baada ya kuvunjika ndoa hiyo. Fungua macho mama mtakatifu ili uone kwamba ndani ya ndoa kuna matatizo chungu nzima na mengi hayavumiliki ila kuna wengine wanaamua kuendelea kuwa pamoja for the sake of their children na wakati huo huo kupata burudani zao za kimapenzi nje ya ndoa zao na wengine huachana.
 
Mhudumuuuuuuuuuuuu!

Ndovu mbili baridi kwa Rosey pale, afu ita mtu wa jikoni haraka sanaaaa!
Hommie usipayuke sana tumia Vuvuzela kuita Eliza atakuelewa tu..Lol!!
 
Hivi mtu anaamini kwamba spouse wake hatoki nje au mtu anajishawishi kwamba spouse ni wake pekee!
I know how ugly a cheat becomes when someone finds out about it!

Wanawake wanaamini
Wanaume tunajishawishi
 
Hivi mtu anaamini kwamba spouse wake hatoki nje au mtu anajishawishi kwamba spouse ni wake pekee!
I know how ugly a cheat becomes when someone finds out about it!

Wanaishi kusadikika hawa hawataki kuamini ukweli halisi wa dunia tuliyo nayo miaka hii.
 

Thanks Carmel... good point; JE KUNA CHANCE KWAMBA WANANDOA WALIO NDANI YA NDOA KUKAA MIAKA KUMI BILA INFIDELITY? KAMA NDIO WHAT WOULD BE THE PERCENTAGE? [ACCORDING TO RESEARCH KAMA ZIPO]

Kuhalalisha kisichowezekana ni ngumu na kuharamisha kisichoepukika pia ni ngumu
 
kama unaweza kuishi na mwenzio kama mumeo au mkeo halafu humuamini hata chembe why live with that person in the first place? unaoa au kuolewa kwa nini kama unajua wanaume wote wanacheat? au wanawake wote wanacheat? kwa nini hamuaamini wenza wenu lakini hata kama hawajawapa reason to doubt them? na inakuwaje ushindwe kujua mkeo anacheat wakati unaishi nae, unalala nae every day? may be i am too naive but i cant get it.
 

Ni kama hivi;
Kama unajua lazima utakufa, kwanini ukiugua unaenda hospitali?
 

Aisifuye mvua imemnyea!

PRIDE ya PASCO ni artificial na zaidi ya kuitoa hapa hawezi kwenda mbele ya Mama yake ama Baba yake Mzazi na kujidai kwamba yeye ni Kidume; au sio hivyo kama wana watoto hawezi kuja mwambia mwanawe I'm proud i did this to your MOM!

Na katu siwasemei na wala siwashurutishi wajihisi hivyo no! Nawaasa kuwa wasiongozwe na dhana potofu kama hizi; sio zama zake kwa wakati tulionao!

Yes sikugundua na ndivyo ilivyo kwa wanaofanya na watakaondelea kufanya; but should we do the same mistakes so that we learn on them? Kuna mtu anasema since life is too short we can learn from others; they can learn from me! nashukuru sikufikia hatua ya kumjengea da sophy!
Labda ni kwa neema tu niliponyoka! lol!
 

Tukihalaisha kwa mahesabu haya tunapoteza maan ya ndoa; makosa yanafanyika na kweli yanaweza kuwa mengi sana tu! Ni sawa na kusema ok; kwa kuwa wizi umekua kwa kasi na karibu kila kaya ina mwizi basi tuhalalishe vitendo vyote vya wizi!

Tuliopona ktk janga na tusiomo kwenye mkondo huu tusimamie ukweli; haitusaidii kuikumbatia dhambi eti tu kwa sababu karibu kila mtu anafanya!

Hizi takwimu ndo hata wale advocates wa same sex marriages wanazitumia kuhalalisha uchafu wao!
 
kwa nini hamuaamini wenza wenu lakini hata kama hawajawapa reason to doubt them? na inakuwaje ushindwe kujua mkeo anacheat wakati unaishi nae, unalala nae every day? may be i am too naive but i cant get it.

No! you are not naive! Na ni rahisi sana kuwa cheated believe me umuamini usimuamini! if she/he is bound to cheat; ITATOKEA TU and there is nothing you can do about it!

Si unasikia hapa watu wanadai they have reasons to CHEAT; usishangae kesho wakasema they had reasons to KILL!
 
Look I wouldnt really like to deal with a woman in case my husband cheats on me... she is nobody to me... but I will deal with him and only him PERIOD.... because he swore to me he will be faithfully and So did I.... naona kuwalaumu kina Da Sophy haitasaidia kusolve problems...kama mwanaume hana adabu na hajiheshimu utachoka tuu kugombana na wanawake...how many women will u fight with?
 
si lengo langu kuwalaumu kina da sophy na sipo hapa pia kuwashangilia. when something is bad, it is bad period! hata kama wamefatwa na hao waume za watu wanayo haki ya kusema no. this is about morals, its either you have it or you dont have it, and this applies to both women and men. kama unajua huwezi kutulia kwenye ndoa yako dont get married, stay single and enjoy life with single people. otherwise kile kiapo kinakua hakina maana yoyote, and if you have morals you will understand this. Na pia kinachoniudhi ni baadhi ya hao wenza kuanza kuboost as if ni jambo la maana kumchukua mume au mke wa mtu without considering ulitongozwa, ulitongoza, au ulijitongozesha, it sucks.
 

Na wewe Chrispin wewe ..hivi ukifanyiwa wewe si ndo utapata BP/Shell/Caltex /Oryx na kila aina ya magonjwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…