Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
leo kitufe hakina hiyana!!!
ila huyu mamaa ya 'rehab' huyu kajivuta weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee cheki alivomalizia l ali-utirio la nguvu hapo!!!
mweeh mi sitaki kuusemea moyo wa mwingine, ngoja niendeelee kuishi kwa matumaini tu in my own imaginary world that B will never cheat on me
Kakague kule naweee!! Nshakakandamiza tayari.
Ili muwe na uhakika kuwa hatuwacheat labda mtuweke kwenye handbag zenu mtembee na sisi 24/7. Na hapo pia bado tunaweza kuwacheat kwa imaginations au kwenye ndoto. Ikishindikana hata kwa sabuni kwakuwa najua hamtaweza kuambatana na sisi mpaka ch'ooni. LOLZ!