Sipendi wanaohalalisha Infidelity

Ni kama hivi;
Kama unajua lazima utakufa, kwanini ukiugua unaenda hospitali?


Hommie kakague kule nimafanza nini yaani mi hapa leo ni kugonga senks tu maadamu gari imeniacha.....duh!
 

humu ndani hata uhubiri vipi sijui kama unaweza kueleweka. kitu kinachoudhi zaidi ni kwamba watu wana wenza wao waaminifu sana tu lakini hawataki kuwaamini, wana wasiwasi wakijua anytime wanaweza ku encounter the ugly truth, why? penye sifa toa sifa, ujue kila mtu ana weakness zake hakuna alie perfect, kuna wengine kubadili wanaake au wanaume ndo ugonjwa wake, wengine pombe wengine kazi, na wengine kusaka pesa etc. so si wanaume wote priority yao ni kuonja onja kila k. kuna wengine ngono hizi si priority kwao, so wale ambao ngono ni priority waendelee.
lakini kuna watu waaminifu tena sana tu.
 
sasa hutaki xpin? kama hutaki basi, kwani kuna mtu anakulazimisha kuamini? YES, HANA.
Hapo tu ndipo huwa nawa salute wanawake.

Nimeikumbuka ile thread yangu. Sijui nikaiibue kwa heshima yako?
 
Hahahaha TOMASO huyo lakini anataka tu useme kuwa ww unaamini hana lakini mengine unamwachia Mungu.

na mi sitaki kumpa hiyo pleasure, kwani kwa nini haamini? kama kwake ni ngumu kwa wengine ni mteremko haahaaaaaaaaaaa. Mungu ashatupatia utashi so acheni kumsumbua.
 
Hapo tu ndipo huwa nawa salute wanawake.

Nimeikumbuka ile thread yangu. Sijui nikaiibue kwa heshima yako?

Na we pia acha uzinzi, muheshimu mama matesha alaaaaaaaaaa.
 
hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio



dear umenipeleka mbali sana, ni sis waangu wa kuzaliwa nae, jamani alikuwa na mume nikasema kweli mungu kamjalia sis wangu, yaani kamshushia kutoka mbinguni, wakiwa home fone ya mume ikiita/sms sis ndio anaambiwa apokee/ajibu sms,jamani mkaka alikuwa cjui niseme mapenzi ya dhati cjui ku pretend yaani mie sielewagi mpaka kesho alikuwaje huyu mtu... jamani jamani kilichokuja kugundulika baadae nilinyanyua mikono juu kwa viumbe wanaume....ndoa ilikufa kibudu....mtu usiusemee moyo wa mwenzio kabisa, huyu alikuwa akimshusha sis ofcn yeye haendi ofcn (boss) anafanya kuagiza kazi ziendelee tu, anaenda kwenye hayo mambo sasa, lunch time yupo ofcn kwa sis wanaenda lunch, jioni saa 11 kamili yupo ofcn kwa sis wanaenda home, na hatoki home mpaka kesho yake kazini, jmoc na jpili ndio hatokiii kabisaa ni cku ya kufurahia na familia yake...ote ndao kumbe alikuwa ni laanakhum....ctaki kulia saa hizi mie.
 
By the way kuna thread nyingine kule ya poll, nendeni mka-vote tujue statistics za cheating, mbona mnaigwaya?
 
Admit that you are sick on your mind and you will indeed be sick before the end of the day, hata kama hutaumwa utajisikia kuchokachoka.... Admit that all men and women must cheat at some point in their lifetime and you will definately cheat. A cheater is a cheater, no excuse. Amekubali ku cheat na ata cheat mpaka afe. Hii sio best practice as most of you want to put it, ni ujinga wa kujiendekeza.
 
na mi sitaki kumpa hiyo pleasure, kwani kwa nini haamini? kama kwake ni ngumu kwa wengine ni mteremko haahaaaaaaaaaaa. Mungu ashatupatia utashi so acheni kumsumbua.

Lakini si unajua kuwa binadamu tu wadhaifu kila mtu ana mapungufu yake
 
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllll

Chrispo how r u doing mate?
 


unajua carmel huku kila mtu anaongea kutokana na uhusiano wake/anaowaona walivyo, sio kwamba wanaifurahia hali, kama mie nasema cjui kama ana cheat lakini siamini 100%, wewe unaamini kabisa wa kwako ha cheat, kwahiyo nadhani watu wanaongelea kutokana na may b yanayowacbu/yaona ktk jamii.
 
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllll

Lazima uwe mwangarifu si unajua abiria chunga mzigo wako.
Take care
 

A person is innocent until proven guilty au sivyo? sasa kma mtu ana maovu yake, za mwizi ni arobaini siyo? otherwise huna haja ya kuishi kwa wasiwasi au kutomuamini mwezio wakati hajakupa reason yoyote ya kumdauti. Halafu mwenza wako ni wako, nyie ni mwili mmoja, you should have an opinion about him no matter how naive you might be, othewise unakuwa huna uhakika na uliposimama, n that is terrible. Kwenye ile movie ya "The diary of a tired black man" kuna habari hii hii ya kwamba mdada ana mume mzuri mwaminifu na anaempenda, lakini tu kwa kuwa huyu binti amekua akiona betrayals all her life, na yeye mwenyewe kashatendwa sana, na marafiki zake wanatendwa kila kukicha, yeye akashindwa kumuamini alie naye japokuwa alikuwa mtu mzuri. Hii waliita black women syndrome, yani women drive their men away for lack of trust. So jamani acheni mioyo yenu iwe free, love freely, acheni wasiwasi.
 

dah, kile kidude cha thanks hata sikioni. you put it exactly how it should be. THANKS.
 
lakini si unajua kuwa binadamu tu wadhaifu kila mtu ana mapungufu yake

iknow, and i agree. Ndo maana xpin alitakiwa aiweke hivi, kuna baadhi wana mapungufu yao na sio kusema haiwezekani kabisa. Mapungufu yake si mapungufu ya wengine.
 

Duh...MJ bana sasa apo wewe wa moto au wabaridi? mbona naona kuna ujumbe hatarishi pia umeutuma na unaulizia matokeo? carmel si nke wa ntu? LOL
 
mimi si mzinzi (nitake radhi lol) mimi ni mdumisha mila za kiafrika.

yeah, mdumisha mila. Asante kwa kuwa umejua unachokifanya ni kibaya, maana imebidi utafute neno la kulainisha ukweli at mdumisha mila while the ugly truth is ni uzinzi at its best, call a spade, a spade.
 
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllll

Chrispo how r u doing mate?

At last you have made my day Non. Am cool (am not cheating LOL). Did you sleep well? (Don't cheat. Am watching)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…