Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Kidogo kidogo na wanaume wanaoangalia tamthilia ya sultan wanaanza kuwaunga mkono dada zetu,
 
Katika picha hizo wako ni yupi
 
Pole sana Mimi huwa sipendi mwanamke wa mkorogo wala minywele ya maiti napenda natural
Wangejua kunyoa vipara vya wembe wanavyopendeza basi tu, kitu kina meremeta na jua la saa saba kama taa bulb ya LED.

Mzee Robert Mugabe alijisemea "Siku hizi wanawake hata hauwezi kuwaroga, ukichukua nywele zao "sample" na kupeleka kwa fundi (mganga) ili umroge, utashangaa mara kiwanda huko china kimewaka moto, au mwanamke brazil/india kawehuka bure"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…