Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sitaki hata kukumbuka yaliyonipata kisa kumpenda mrembo ambaye alipambwa na make up.
 
Mi mara moja kama naenda kwenye harusi na sio lazima.kiujumla mimi sijijali sana ili mradi niwe msafi nanukia vizuri basi na manguo yangu marefu
Wachache kama wewe wanaofaham kua nguo ndefu humfanya mwanamke kuonekana mwenye mvuto na pia watu (hasa wanaume) kukupa heshima.

Wanaume hua tuna mawili kwa mavazi ya wanawake, aliejistiri (hua ana mvuto, tunamuogopa na kumheshimu sana) alievaa nguo za kichokozi (hua tunamchukulia mwepesi na unaweza kumwingia kwa maongezi)

Sina nia ya kuonesha dharau kwa yoyote, ila ni mtazamo wangu kama mwanaume
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] 100%
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watuwache sababu hatujisiribi mpaka tukawa Mbagala rangi tatu.

Sie twapaka kwa staha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeehh!!aunty akee..Mimi napaka Mara chache tena simple sana!sana sana wanja nikipaka mpk watu wanashangaa

Hao wa mbagala r3 kazi wanayo aisee!!mi imenishinda hyooo
 
Heeeee. Nimepata kitu kipya hapa sijawahi waza kama wavaa manguo marefu ka kina sie. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Ila uko vizuri. [emoji23][emoji23]
Yap ila ushungi ushanishinda [emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kuchukua mrembo usiku. Kumfikisha Guest ikabidi tujipige maji kwanza bafuni.

Dah! Sikuamini kabisa. Mimi nilijua ni kitu White maana nawapenda weupe au maji ya kunde.

Basi tu kwakuwa Mchagua jembe si mkulima. Ikabidi nipige kazi tu. Bora hata shughuli angekuwa anaiweza.

Kuanzia hapo hadi sasa, nikipata kipotabo usiku huwa nauliza maswali mawili tu.
1. Bei gani usiku kucha
2. Ni mweupe au mweusi

Oovaa
 
Back
Top Bottom