Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Inaitwa Jackeline ila zina namba sasa ambazo kila moja inaendana na rangi ya mtumiaji.Yako inaitwaje, hili nimnunulie WiFi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Jackeline ila zina namba sasa ambazo kila moja inaendana na rangi ya mtumiaji.Yako inaitwaje, hili nimnunulie WiFi yako
😂😂😂😂 UmetishaHata msipopaka make up tutawatongoza tu jamani ,acheni hizo mambo ,ndo maana Mimi huwa namwambia mwanamke akanawe uso kwanza ndo aje nimtongoze
Shemeji umekosa point leo?No comment
Kweli wanawake wanakazi sana ,sasa lengo la kupaka make up ,nini au ili
Ili kuonekana warembo.
Halafu wengi wanaoji siriba make-up kupita kiasi ndo utawakuta wale ambao mchango katoa elf 20,000/= ila wameenda na timu nzima ya wageni.Nilienda kwenye birthday party ya rafiki yangu,, aisee,,ile siku ndo niliona makeups
Wadada wamepaka makeup mpaka naona kabisa uso umejaa,, yani uso una kamzigo. Halafu kama unapukutika hivi. Mi nilikua naturalllll hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂kama uliwaonaHalafu wengi wanaoji siriba make-up kupita kiasi ndo utawakuta wale ambao mchango katoa elf 20,000/= ila wameenda na timu nzima ya wageni.
Utakuta kaenda na ndugu watatu, house girl, na dada wa mumewe kufidia huo mchango[emoji120]
Wewe ni kama Mimi kabisaa!!!kwanza mie kupaka mpk harusini wanaoniona whasap wanajuaShunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.
Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Mi mara moja kama naenda kwenye harusi na sio lazima.kiujumla mimi sijijali sana ili mradi niwe msafi nanukia vizuri basi na manguo yangu marefuShunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.
Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Wewe ni Mimi kabisaa..najiamini mnooooMi mara moja kama naenda kwenye harusi na sio lazima.kiujumla mimi sijijali sana ili mradi niwe msafi nanukia vizuri basi na manguo yangu marefu