Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Hizo picha ulizotumia zina copy right umewalipa wenyewe!?
 
Hivi kumbe make up inafanya watu wawe na pua ndefu? Ahaaaa haya ma kitu siyapendagi, haya marangi MTU atakukulaje Ma kiss.
 
Nilienda kwenye birthday party ya rafiki yangu,, aisee,,ile siku ndo niliona makeups

Wadada wamepaka makeup mpaka naona kabisa uso umejaa,, yani uso una kamzigo. Halafu kama unapukutika hivi. Mi nilikua naturalllll hadi raha😂😂😂
 
Nilienda kwenye birthday party ya rafiki yangu,, aisee,,ile siku ndo niliona makeups

Wadada wamepaka makeup mpaka naona kabisa uso umejaa,, yani uso una kamzigo. Halafu kama unapukutika hivi. Mi nilikua naturalllll hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wengi wanaoji siriba make-up kupita kiasi ndo utawakuta wale ambao mchango katoa elf 20,000/= ila wameenda na timu nzima ya wageni.

Utakuta kaenda na ndugu watatu, house girl, na dada wa mumewe kufidia huo mchango[emoji120]
 
Ni kweli makeups zikizidi inakuwa tabu,ila nilichogundua hawa ndugu zetu wa upande wa pili huwezi kuwashauri wakakuelewa mpaka apate madhara ndio huwa wanaamini...
 
Back
Top Bottom