Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza mtima madame, mbona povu jingi jamani, halafu sasa mi nshaanza kujipanga nikutafute private kwanza.

Mi kama wa kufunga nae pingu za maisha itakua wewe au hao waliotoa povu hapo juu tu. Maana sidhani kama ntapata mwanamke mkweli kama wewe au hao waliofunguka juu.
Ukija private uje 3000 ya Jf Party
 
U
Nliposti kuna uzi wa faida za mwanamke kua mchepuko, watu walitoa mapovu acha tu mkuu.

Halafu sijui lini ntakoma kuwa testi hawa watu.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Usikomeee bro Hawa viumbe hovyo kabisaaaa.
MUNGUkawapa
NYUSI hawazitaki wananyoa wanabandika MANYUZI,Wakapewa KUCHA hawazitaki Wanabandika MAPLASTIK,Akawapa MAKALIO hwayataki WANAWEKA YA MCHINA
Akawapa NYWELE Wanabandika MAKATANI
Baasi Ni tabu tupu,HAWAJIAMINI KABISAAA.
 
Kwa kuwa mchepuko ni wa muda mfupi kukidhi haja, hiyo kero ni ya muda mfupi pia.

Huwezi kulinganisha na ambaye unaishi naye siku zote.
Tunarudi palepale.
Hupendi mwanamke mpaka makeup....huyo mchepuko wako ni wa kiume?
Mkataze basi na huyo mchepuko wako kupaka makeup.

Afu aliyekwambia mchepuko anakuwa wa muda mfupi ni nani?
Kuna michepuko unakuwa nayo milele.
Ngoma droo kama wife tu
 
Write your reply...hakuna lolote wanaongea kujifurahisha na kufurahisha baraza hao wakezao ndio wanapanga foleni na kumjua kila makeup arts mjin
 
Write your reply...hakuna lolote wanaongea kujifurahisha na kufurahisha baraza hao wakezao ndio wanapanga foleni na kumjua kila makeup arts mjin
Umemaliza kila kitu.

Mie nimesema hapa hao wanaume wanaosema hawataki make up ukute wake zao phone book zao ni majina ya wabandika kope na wapaka make up hapa mjini
 
Back
Top Bottom