Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

And delivery

Hivi katika Dunia hii na karne hii kuna mwanaume anaekubali kutoka na mwanamke asiyepaka makeup.
Huu ni uwongo mkubwa sana
😂😂😂😂 Wape wape.

Na kama wake ajapaka basi jicho lake muda wote litakuwa kwa aliyepaka na akapendezesha uso wake. 😂😂😂😂
 
Ndio maana
Ungekuwa umeoa....akili ingekukaa sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza mtima madame, mbona povu jingi jamani, halafu sasa mi nshaanza kujipanga nikutafute private kwanza.

Mi kama wa kufunga nae pingu za maisha itakua wewe au hao waliotoa povu hapo juu tu. Maana sidhani kama ntapata mwanamke mkweli kama wewe au hao waliofunguka juu.
 
Back
Top Bottom