Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alietengeneza makeup Mungu ambariki kuna wanatisha jamani mpaka unajiuliza huyu yupo tu hivi je akiwa katoka kuamka asubuhi inakuwajee
Hahahaa. Waache ndugu zangu waseme ukweli.@ukhuty na Madame B hawa watu ni wakupigwa kadi nyekundu tu uwanjani, wanacheza faulo sanaaaaView attachment 867872
Huwezi jua njiani unakutana na watu wa aina gani.We ni noma, sasa gengeni mpaka make up kwani mangi anakua anaandaliwa kukopwa au kuvunjwa goti na mizinga?
Hebu nishike sikio kidogo mkuu
Ila mwanamke wewe mpe tu pesa za gengeni....ya make up itatoka hukohuko
Kule unaweza oga kabisa so lazima uende naturallyKwa kuwa kule unaenda kukata gogo ndio unaamua ubaki kama msitu ili ufanane na msitu wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ndio ninapokupendea hapo mamaa,Hahaaaa. Nisiwe muongo natumia ila nina Makeup yangu moja inayoendana na rangi yangu na nikipaka naipaka kidogo mnoo ambayo kama hujanicheck vizuri huwezi jua kama nimepaka kitu kwa uso.
Hatutongozi wanawake kisa wana mbunye tamu au la,kila mtu ana specifications zake,ambazo obvious zote ni outside specifications ,yaliyomo ndani yana noga na kuthibitika mkiwa kitandani ,yakipambwa na ushirikiano kati yenu.
Sio faulo.@ukhuty na Madame B hawa watu ni wakupigwa kadi nyekundu tu uwanjani, wanacheza faulo sanaaaaView attachment 867872
Hebuuuuu......
@afrospear NZURI PESA long live my love huyu jamaa ndio aliouza ramani, cheki alivowaita kuja humu.Shunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.
Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Wewe haya makitu tunayajua sisi ladha zake.I see kama ndio mke wangu nakutoa nduki. Sipendi hayo maputi mnapaka usoni.
Hilo nakubaliana na wewe. Kuna mmoja kila mara nasema lakini haelewi wala nini. Mimi ndio nimekupenda nataka uwe natural hayo maputi unampakia nani? Ninyi ni shida kwa kweliWewe haya makitu tunayajua sisi ladha zake.
Tena ndo hivo tu nina kijikalio.
Ila ningekuwa sina.
Juu make up, usoni kope zimenisimama kama fagio la hospital na huku chini najaradia kigodoro changu safi mwendo mdundo
Kila nikipita, mnakata shingo tu mpaka napotelea vichochoroni huko gizani
Ndio maanaMi sijaoa Madame B, ndo kwanza nimetimiza miaka 25.
Cha pili ningekua nimeoa nisinge thubutu kuweka hili dukuduku letu wanaume JF. Ningeogopa kufinywa mashavu na kupewa masingi na wife.
Bado nipo sana kuoa aise[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wataelewa tofauti ya x na × japo zote zinafananaUmeona Dada. Hizi ni lugha mbili.
Ila mwisho wa siku wataelewa tu.
Wanaume wa humu Jf huwa hawapendi kuambiwa ukweli.