Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

KE

Unamtukana mama ntilie halafu unamtupia hela kwa hasira ee bana watajuaje kama una hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mfano huu sidhan kama kipara cha kichwan kilipunguza utamu wa mbunye
WEWE NI KE AU ME.?HIVI UKIENDA KULA KWA MAMA NTILIE UKAKUTA MCHANGA KWENYE WALI WAKATI UMESHAANZA KULA VIPI UNACHUKUA HATUA GANI?
 
Kuna muda nimejiwazia hapa pia, huenda ikawa sie Ke na hao Me tunazungumza lugha mbili tofauti.

Na wao akili zao zote wanajua mtu kupaka Makeup na ili iwe Makeup basi mpaka afananie na hao wa kwenye hizo picha za mleta uzi. Kumbe ni tofauti.
Afu wanaume hawa hawa wanaoleta ngebe kuhusu makeup.
Ukute wake zao hawatoki nao mpaka wapake makeup.
Hapa tunaongea lugha 2 tofauti ujue.
Hao wanajua mkorogo nakwambia
 
Mameeeeee. Naona unakazia wakati mleta uzi hapendi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@ukhuty na Madame B hawa watu ni wakupigwa kadi nyekundu tu uwanjani, wanacheza faulo sanaaaa
IMG-20170125-WA0009.jpg
 
Hayo mambo ya make up zamani tulikuwa tunayashuhudia kwenye magari yakiwa yanapakwa rangi yanapigwa puti kwanza. Wanawake wakaona waige hiyo style ndio wakaja na hayo mafoundation huwa naita puti za usoni.
 
KE

Unamtukana mama ntilie halafu unamtupia hela kwa hasira ee bana watajuaje kama una hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mfano huu sidhan kama kipara cha kichwan kilipunguza utamu wa mbunye
Hatutongozi wanawake kisa wana mbunye tamu au la,kila mtu ana specifications zake,ambazo obvious zote ni outside specifications ,yaliyomo ndani yana noga na kuthibitika mkiwa kitandani ,yakipambwa na ushirikiano kati yenu.
 
😂😂😂😂😂😂 hii ni kubwa kuliko Dada.

😂😂😂😂😂 hivyo tukienda kwetu Tanga ndio twawa kama Misitu. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatari.
Ndio.
Tukivuka Wami tunabaki naturally.
Ila huku tukivuka Kibaha wote tutakutana makeup room
 
Hii ilishawahi kunikuta baada ya kulala na bitch mmoja hivi mwanza,wakati naingia nae chumbani nilipofika tu nilikula kimoja ,akiwa yupo safi kabisa,ila tulipolala nilipoteza kumbu kumbu kwa sababu ya pombe nyingi niliyokuwa nimekunywa,asubuhi ulevi uliponiishia nilishituka ili niguse cha asubuhi ,si ndo kumgeukia mwenzangu ambaye yeye alikuwa bado amepiga usingizi,kumuangalia tu hivi nikakuta hana nywele hata kidogo,yani kichwa kama tako;nilipiga kelele kama nini ,huku mapigo ya moyo yakiwa yameongezeka.Nilitoka ndani nikaenda kaunta kuchukua maji ya kunywa angalau nipoze kiu niikiwa kaunta yule demu nae alikuja pale kaunta,akitaka kujumuika nami nilimwambia akae mbali nami ndipo nilipomuita rafiki yangu mmoja akaja pale na kumwambia,mpatie huyo ibilisi elfu tano tu aondoke maeneo haya.
Mtoa uzi ume ongelea make-up tu lakini vipi kuhusu hips fake,matiti fake,sauti fake,harufu fake yaani ni nonesense tupu ,halafu hawa wapuuzi wa namna hii ndo unakuta wanajifanya wanajua kula na kutaka dau kubwa.

Mungu wetu atusaidie jamani.
Poleni
 
Hapo ndipo kwenye tatizo.
Huenda unapenda sana mkeo apake makeup sema tatizo huenda ni mfuko..
Tuwekane sawa hapa nyie wanaume.

Ila mwanamke wewe mpe tu pesa za gengeni....ya make up itatoka hukohuko
Mi sijaoa Madame B, ndo kwanza nimetimiza miaka 25.

Cha pili ningekua nimeoa nisinge thubutu kuweka hili dukuduku letu wanaume JF. Ningeogopa kufinywa mashavu na kupewa masingi na wife.

Bado nipo sana kuoa aise[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom