Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nimecheka Dada. Hadi ujasiri kumbe. ππππππTunakuja.
Kwanini tuogope.
Make up zinatupa ujasiri babu weeeeee
Natural tunaiachia misitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka Dada. Hadi ujasiri kumbe. ππππππTunakuja.
Kwanini tuogope.
Make up zinatupa ujasiri babu weeeeee
Natural tunaiachia misitu.
Afu hapa unajua wanaume wanachanganya madesa.Dada na sio vimada pekee hata hao wake zao wanapaka sana tu.
Ila hapa wote team natural. Wanaume nyieee Mungu anawaona aiseee.
πππππππππππππππππππππππππ³π³π³π³π³
Utu uzima ni pale unapo angalia pande zote mbili kabla ya kuvuka barabara, halafu unashangaa unagongwa na ndege.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mkuu,wengine hatuna ujasiri wa kutoka bila hiyo kitu kwakweli
Kuna muda nimejiwazia hapa pia, huenda ikawa sie Ke na hao Me tunazungumza lugha mbili tofauti.Afu hapa unajua wanaume wanachanganya madesa.
Hapa kuna wengine wanaongelea mikorogo.
Wanaume hawajui kutofautisha kati ya make up na mkorogo.
Hapa wanajua ni mkorogo
Shunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.
Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Kikopo kimoja elf 35, sasa vi4 si mshahara kabisa aise Hajar [emoji120]Ndio ilivyo Mkuu. Kama mie ako ninakopaka ni kakopo kadogo ila kanauzwa Tsh 35000/= ila ndio nakapaka zaidi ya miezi mitatu maana napaka kidogo mnooo na haibadili muinekano zaidi ya kung'arisha.
View attachment 867822
Kama ako japo sio aina hiyo. Ni mfano tu wa ako kakopo ukubwa wake.
tumefika dada wapaka mekapShunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.
Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Hii ilishawahi kunikuta baada ya kulala na bitch mmoja hivi mwanza,wakati naingia nae chumbani nilipofika tu nilikula kimoja ,akiwa yupo safi kabisa,ila tulipolala nilipoteza kumbu kumbu kwa sababu ya pombe nyingi niliyokuwa nimekunywa,asubuhi ulevi uliponiishia nilishituka ili niguse cha asubuhi ,si ndo kumgeukia mwenzangu ambaye yeye alikuwa bado amepiga usingizi,kumuangalia tu hivi nikakuta hana nywele hata kidogo,yani kichwa kama tako;nilipiga kelele kama nini ,huku mapigo ya moyo yakiwa yameongezeka.Nilitoka ndani nikaenda kaunta kuchukua maji ya kunywa angalau nipoze kiu niikiwa kaunta yule demu nae alikuja pale kaunta,akitaka kujumuika nami nilimwambia akae mbali nami ndipo nilipomuita rafiki yangu mmoja akaja pale na kumwambia,mpatie huyo ibilisi elfu tano tu aondoke maeneo haya.
Mtoa uzi ume ongelea make-up tu lakini vipi kuhusu hips fake,matiti fake,sauti fake,harufu fake yaani ni nonesense tupu ,halafu hawa wapuuzi wa namna hii ndo unakuta wanajifanya wanajua kula na kutaka dau kubwa.
Mungu wetu atusaidie jamani.
Mie mwenzako bila makeup hata gengeni siendi.Nimecheka Dada. Hadi ujasiri kumbe. ππππππ
siunanijuag tukikutana hadi unihakiki kwa simu kama ndio mie jinsi navyojisiliba dadaHahahaaa. Haya subiri waje wakusuuze au mdogo wangu hupakagi Makeup? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Kumbe nawe wapaka eeee?tumefika dada wapaka mekap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona Dada ake.
Hiyo natural tuiachie misitu kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na hatukatai maana kila mmoja na akipendacho.
ππππππ hii ni kubwa kuliko Dada.Mie mwenzako bila makeup hata gengeni siendi.
Sehemu ninayoenda nikiwa sijapaka makeup ni chooni tu?
Ila hata kama nitakaa nje kupiga soga kujimake up muhimu.
Si unajua huwezi jua zali linakuja muda wowote.
Nitakuwa natural nikienda kwetu milimani Lushoto.
Ila Dar....wote tutakutana tukiwa na makeup usoni
We ni noma, sasa gengeni mpaka make up kwani mangi anakua anaandaliwa kukopwa au kuvunjwa goti na mizinga?Mie mwenzako bila makeup hata gengeni siendi.
Sehemu ninayoenda nikiwa sijapaka makeup ni chooni tu?
Ila hata kama nitakaa nje kupiga soga kujimake up muhimu.
Si unajua huwezi jua zali linakuja muda wowote.
Nitakuwa natural nikienda kwetu milimani Lushoto.
Ila Dar....wote tutakutana tukiwa na makeup usoni
mie sikupaka tu najikandika haswaaa tenaHahahaaa. Kumbe nawe wapaka eeee?
Ngoja nifuatilie nione ulichokisema[emoji23] [emoji23] [emoji23]tumefika aiseee