Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Mbona lotion tu inatosha,
Hayo makitu mi siyapendi yani,
Kila mmoja na akipendacho. Mie lotion napaka ila ka Makeup kangu lazima kahusike kidoogo na kama umenizowea nikiwa kawaida huwezi jua hata.

Pia yategemea na aina mtu anavyopaka. Kikawaida unadhani hizo picha zilizorushwa hapo kuna mtu anapaka akienda Ofisini?

Wanaopaka hayo ni wale wanaokwenda kwenye masherehe labda.
 
Kila mmoja na akipendacho. Mie lotion napaka ila ka Makeup kangu lazima kahusike kidoogo na kama umenizowea nikiwa kawaida huwezi jua hata.

Pia yategemea na aina mtu anavyopaka. Kikawaida unadhani hizo picha zilizorushwa hapo kuna mtu anapaka akienda Ofisini? Labda wakienda kwenye Viduku Mangi.

Wanaopaka hayo ni wale wanaokwenda kwenye masherehe labda.
Hivi mkitoka jasho usoni huwa inakuaje?
 
Jaman mmesahau ishu yakufanya packaging ya breast. Wengine waita kuboost maziwa.

Unaezasema chuchu saa sita kumbe maskini ya mungu saa kumi usiku.
 
Nikujuze nini sasa wakati wewe ndio umeandika mdogo wangu?
Kwa kuwa ninyi watumiaji wa make up lengo ni kufanya uonekane mzuri/uwe mzuri, sasa make up haiwezi kuwafanya muwe wazuri ispokuwa mnajisumbua tu huku mkiacha suluhu ya kudumu.

Chakula ndio kiboko wa yote, ukipata balance diet ngozi itaimarika na kuwa nyororo hatimaye uzuri wa kudumu unajengeka.

Unaweza ukawa unagharamia make up kwa wingi ili uwe mzuri lakini chakula ukakipa mgongo hapo unatwanga maji kwenye kinu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .


NB: Sijasema muache kutumia make up, kila mmoja ana haki na wajibu wa kutunza mwili wake kwa namna aitakayo anayoona ni bora kwake.
 
Hahahaaa. Mie hata nikitoka jasho baadae nikikauka nakuwa kawaida siwi hata na chembe ya mchirizi.
Huwa unafuta jasho kwa kitambaa? Nadhani ndio msingi wa swali na Mangi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hayo madude siyapendi nakumbuka Mwalimu wangu mmoja aliyapa jina"MAVI YA FISI"
 
Back
Top Bottom