Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Aisee msichana aliyepaka make up sitaki hata mazoea naye kabisa unaweza jutia maisha yako yote na kujikuta kwenye msongo wa mawazo.
Nikuone bila make up kwanza ndio mengine yaendelee tena hata ndoo na mabox nitakununulia kama sura yako ni halisi
 
Hahahaaa. Mnavyotuponda utadhani wake zenu na wanawake zenu hawatumii hizo kitu.

Vipo kwa ajili ya mwanamke hivyo vitumikage tu kwa wanaoweza mbaya ni hizo zinazopakwa na kubadilisha kabisa uhalisia wa ngozi ya mtu. Ila kama ni kawaida tu wapake tu kwa kweli maana ndio tofauti hizo kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Hahahahahaha kweli tunaibiwa hapa mjini
Ashukuriwe aliyedungua hii kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1537080615882.jpeg
 
Hahahaaa. Mnavyotuponda utadhani wake zenu na wanawake zenu hawatumii hizo kitu.

Vipo kwa ajili ya mwanamke hivyo vitumikage tu kwa wanaoweza mbaya ni hizo zinazopakwa na kubadilisha kabisa uhalisia wa ngozi ya mtu. Ila kama ni kawaida tu wapake tu kwa kweli maana ndio tofauti hizo kati ya mwanamke na mwanaume.
Unakuta mpenzi wako anakuja nyumbani kukusalimia kabeba pochi utadhani kakubebea zawadi ,kumbe kajaza hayo ma make up tu ,na akifika tu mbio kwenye dressing table
 
Hahahaaa. Mnavyotuponda utadhani wake zenu na wanawake zenu hawatumii hizo kitu.

Vipo kwa ajili ya mwanamke hivyo vitumikage tu kwa wanaoweza mbaya ni hizo zinazopakwa na kubadilisha kabisa uhalisia wa ngozi ya mtu. Ila kama ni kawaida tu wapake tu kwa kweli maana ndio tofauti hizo kati ya mwanamke na mwanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawa wanaosema hawawapendi wanawake wanaojipaka make up utakuta wake zao wana kila aina ya make up kwenye dressing table,wakija hapa kazi tukusimanga tu.
 
Back
Top Bottom