Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio ilivyo Mkuu. Kama mie ako ninakopaka ni kakopo kadogo ila kanauzwa Tsh 35000/= ila ndio nakapaka zaidi ya miezi mitatu maana napaka kidogo mnooo na haibadili muinekano zaidi ya kung'arisha.Kumbe ndio ipo hivyo, wengine wananunua tu
Kama ako japo sio aina hiyo. Ni mfano tu wa ako kakopo ukubwa wake.