Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Shunie , ukhuty , Mzigua90 , Madame B , Numbisa , Mama Sabrina , Raynavero , maliyamtu , Ulweso , mumu , espy , Heaven Sent, witnessj, Beef Lasagna na wengineo wengi mje jamaani kama na nyie mnatumiaga hii kitu.

Mie jamaani nisiwe mnafki napaka ila kidogo mnoo. Na haiondoi uhalisia wa ngozi yangu.
Wanawake tumeumbwa kupendeza.
Japo muda mwingine make-up inasitiri ila ikizidi kero.

Mie nisiwe mnafiki, napaka ila kwa kiasi.
Na inategemea naenda mahala gani.
Kama harusini napaka mpaka utanisahau, ila kama sehemu za starehe napala kwa kiasi nisije mkimbiza bwana mpya asubuhi.
Hahahhahaha
 
Umeona Dada ake.

Hiyo natural tuiachie misitu kwa kweli. 😂😂😂😂 Na hatukatai maana kila mmoja na akipendacho.
 
Kumbe kujenga mwili ni nafuu kuliko na kujenga uzuri.

Ukijenga mwili vizuri, hutohitaji make up tena.

Jitajidini kujenga mwili kwa vyakula bora ili muepuke msaada wa make up
😳😳😳😳😳
 
Ila wanaume ni wanafiki watupu.
Mbona wanawaacha wake zao majumbani wenye sura za naturally na kwenda kwa vimada wanaopaka make up.
Wanaume waambie waache unafiki
Dada na sio vimada pekee hata hao wake zao wanapaka sana tu.

Ila hapa wote team natural. Wanaume nyieee Mungu anawaona aiseee.
 
Back
Top Bottom