Hii ilishawahi kunikuta baada ya kulala na bitch mmoja hivi mwanza,wakati naingia nae chumbani nilipofika tu nilikula kimoja ,akiwa yupo safi kabisa,ila tulipolala nilipoteza kumbu kumbu kwa sababu ya pombe nyingi niliyokuwa nimekunywa,asubuhi ulevi uliponiishia nilishituka ili niguse cha asubuhi ,si ndo kumgeukia mwenzangu ambaye yeye alikuwa bado amepiga usingizi,kumuangalia tu hivi nikakuta hana nywele hata kidogo,yani kichwa kama tako;nilipiga kelele kama nini ,huku mapigo ya moyo yakiwa yameongezeka.Nilitoka ndani nikaenda kaunta kuchukua maji ya kunywa angalau nipoze kiu niikiwa kaunta yule demu nae alikuja pale kaunta,akitaka kujumuika nami nilimwambia akae mbali nami ndipo nilipomuita rafiki yangu mmoja akaja pale na kumwambia,mpatie huyo ibilisi elfu tano tu aondoke maeneo haya.
Mtoa uzi ume ongelea make-up tu lakini vipi kuhusu hips fake,matiti fake,sauti fake,harufu fake yaani ni nonesense tupu ,halafu hawa wapuuzi wa namna hii ndo unakuta wanajifanya wanajua kula na kutaka dau kubwa.
Mungu wetu atusaidie jamani.