Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti.

Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.
 
Kwahio NDOA zinatuzeesha Dada? Hongera zake sana
 
Kutokua na familia ni tabia ya ubinafsi sana. Je kama baba yake angekuwa mbinafsi kama yeye asioe au asiwe na familia yeye angezaliwa? Hawa wazungu mambo leo wajinga sana
 
Huyu mbabu unasema yuko vizuri? Ama kweli roho ni dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…