Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

Aisee! Pia yupo General James Mattis (Rtd) naye pia hakuwahi kuoa wala hana mtoto na katika maisha yake muda mwingi sana alipendelea kusoma na ku practice mambo ya kivita tu na alipendelea sana vita. Hii dunia kuna watu wana mambo, huku kwetu utasikia atakusaidia nani usipokuwa na watoto?.
 
Brother bado unaishi maisha ya kufatilia watu?
Unasikitisha sana.
Je kama hana familia wewe unapungukiwa na nini?
Ujinga ni mzigo.
Wabongo utawaweza sasa? Kutwa kuwafatilia wazungu, hawana wanalolijua wala kuweza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mzaha gani nimefanya hapo kwani yesu alioa?[emoji848] alafu sidhani kama wewe mtu mweusi una umiliki wa yesu . Watu pekee wenye umiliki wa yesu ni Mariam na Yusufu na ukoo wa yesu sijui Kama wewe mtu mweusi [ Mwaafrika ] una vinasaba na ukoo wa yesu na wayaudi ili uweze kuwa na huo umiliki wa Yesu au unamzungumzia Yesu wa Arsenal [emoji1]
Wa Yanga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda nyimbo zake hasa

Bachelor boy,summer holiday na we don’t talk anymore...
 
Kwani ni huyo tu ambayo hana familia mbona ni wengi tu kipi kigeni
 
Back
Top Bottom