Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ma-Sir wengi wanakuwaga mchele mcheleView attachment 2281408
Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti.
Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.