Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijisema kwenye wimbo huu wake
Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti.
Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.
Kuoa sio sheria au amri inayomhusu kila mtu. Wapo mapadri na wasela kibao tu walioamua kuchagua kutokuoa. Wapo wengine waliotamani kuoa lakini hawakujaliwa kupata wa kuwaoa nk.Hapana sikumaanisha hilo, lakini huyu tumuite nani maana amevuka senior batchelor stage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNa wewe kwa nini usizuie kupangia wengine fikra za kufikiri?
Kwani aliwalazimisha wamzae? Kiherehere chao ndiyo wakamzaa. Hata sisi watoto wetu wakiamua kutokuzaa ni choice yao.Kutokua na familia ni tabia ya ubinafsi sana. Je kama baba yake angekuwa mbinafsi kama yeye asioe au asiwe na familia yeye angezaliwa? Hawa wazungu mambo leo wajinga sana
Word.Wanasemaga hawajali, hata asingekuwepo it doesnt matter. Tena ingekuwa choice yake asingechagua kuzaliwa
Kuna watu wako so brainwashed yaani hadithi za zamani za Kiyahudi wamemezeshwa na kuaminishwa kuwa they're part and parcel ya hadithi hizo, nimekumbuka msemo wa wahenga wa 'wajinga ndiyo waliwao'.Kuna mzaha gani nimefanya hapo kwani yesu alioa?[emoji848] alafu sidhani kama wewe mtu mweusi una umiliki wa yesu . Watu pekee wenye umiliki wa yesu ni Mariam na Yusufu na ukoo wa yesu sijui Kama wewe mtu mweusi [ Mwaafrika ] una vinasaba na ukoo wa yesu na wayaudi ili uweze kuwa na huo umiliki wa Yesu au unamzungumzia Yesu wa Arsenal [emoji1]