Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

Ma-Sir wengi wanakuwaga mchele mchele
 
Mwamba yupo vizuri heko kwakeπŸ‘
 
Don't mention our Jesus Christ Name kwenye mambo ya kimzaha
Kuna mzaha gani nimefanya hapo kwani yesu alioa?πŸ€” alafu sidhani kama wewe mtu mweusi una umiliki wa yesu . Watu pekee wenye umiliki wa yesu ni Mariam na Yusufu na ukoo wa yesu sijui Kama wewe mtu mweusi [ Mwaafrika ] una vinasaba na ukoo wa yesu na wayaudi ili uweze kuwa na huo umiliki wa Yesu au unamzungumzia Yesu wa Arsenal πŸ˜„
 
Pepo shindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…