Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

Kalamu1,
Taarifa niliyoiweka ni ya kuaminika , Polisi ya Tanzania ni duni mno linapofika suala la kutumikishwa na ccm , lakini ili kunogesha mambo unaweza kusikia mtuhumiwa huyu akiongezewa makosa mapya ya kukutwa na bangi au kutoa lugha ya matusi
 
Erythro, mwingine huyo hapo, asiyejua kitu.

Anahimiza mkapambane na dola..., sikusoma bandiko lake hadi huko mwisho, sijui kama anayo mawazo tofauti na hayo machache aliyoweka hapo juu.

Hawa watu ni wakala wa CCM bila shaka!

Anasema CCM ina 'dola', na kwa hiyo anawahimiza mkapambane na dola?

Huenda hajui kazi mnayofanya kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukiwahimiza muifanye, na kuwalalamikia kwa kutoona matokeo ya kazi yenu hiyo.
Kidogo tunaanza kuamini kwamba huenda ushauri tuliokuwa tukiimba kila siku, taratibu mmeanza kuukubali na kuufanyia kazi.

Hawa wasioelewa ni kwamba kwa vile CCM ina 'dola' njia pekee ya kuikabili ni kukabiliana na 'dola' moja kwa moja, jambo ambalo ni la kipuuzi.

Hawajui mwenye 'dola' ni nani, na leo akikohoa tu kidogo CCM itasambaratika hata wasijue 'dola' imepotelea wapi.

Hawa watu wenye mawazo kama haya wanahitaji shule ya nguvu ili waelewe kuwa wanhachokililia mkifanye, hicho ndicho kitakachokuwa nafuu ya CCM.
Mkuu, mimi nimekuelewa saana.
 
hahaaaaaa eti tajiri ungekuwa tajiri ungekuwa unahangaika na chadema huko si unataka ulaji? maskini fukara tu wewe hina lolote
Aiseee !!! hakika usilolijua ni sawa na giza nene
 
Erythro, mwingine huyo hapo, asiyejua kitu.

Anahimiza mkapambane na dola..., sikusoma bandiko lake hadi huko mwisho, sijui kama anayo mawazo tofauti na hayo machache aliyoweka hapo juu.

Hawa watu ni wakala wa CCM bila shaka!

Anasema CCM ina 'dola', na kwa hiyo anawahimiza mkapambane na dola?

Huenda hajui kazi mnayofanya kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukiwahimiza muifanye, na kuwalalamikia kwa kutoona matokeo ya kazi yenu hiyo.
Kidogo tunaanza kuamini kwamba huenda ushauri tuliokuwa tukiimba kila siku, taratibu mmeanza kuukubali na kuufanyia kazi.

Hawa wasioelewa ni kwamba kwa vile CCM ina 'dola' njia pekee ya kuikabili ni kukabiliana na 'dola' moja kwa moja, jambo ambalo ni la kipuuzi.

Hawajui mwenye 'dola' ni nani, na leo akikohoa tu kidogo CCM itasambaratika hata wasijue 'dola' imepotelea wapi.

Hawa watu wenye mawazo kama haya wanahitaji shule ya nguvu ili waelewe kuwa wanhachokililia mkifanye, hicho ndicho kitakachokuwa nafuu ya CCM.
Hujanielewa Kwa sababu hukutaka kunielewa na hilo ndilo tatizo linalowagharimu wapinzani mana hawajui hata Lugha ya kiswahili . Nakumbuka Shibuda alizomewa na wapinzani Kwa sababu ya wao kutojua lugha ya kiswahili zaidi ya kukurupuka. Ndio wale wale wanaomtukana Mbatia baada ya kwenda Ikulu kupambana na dola ,tatizo ni lugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kumuingiza Mbatia umeharibu
 
View attachment 1381369

Maagizo ya Bashiru Ally yanaendelea kutekelezwa kwa kishindo na dola.

Pamoja na huyu wako viongozi wengine 8 waliokamatwa na kunyimwa dhamana kwa sababu zisizoeleweka.

Uonevu wa kishamba kama huu utakuja kuleta machafuko yasiyo ya lazima.

Kama kuhama chama cha policcm ni kosa la jinai, basi itabidi sheria na katiba vitamke hivyo.
Mimi naona kuwa salama ni kuhama kimoyomoyo na kuthibitisha hilo kwenye sanduku la kura. Yaani unakaa nao, unakula nao, lakini kwenye sanduku la kura, unahamia chama ukipendacho.
 
Poleni wana CCM, nili ndilo chama lenu, ukishalichoka we lipende tu hivyo hivyo lilivyo...ni ndoa ya kikristo hainaga talaka hadi kaburini...

Ukiamua kuliacha yatakayokukuta usilaumu mtu!!
 
Back
Top Bottom