Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

Mkuu erthrocyte watu washachoka haya malalamiko Mara ooh Yana mwisho Mara ooh ipo siku Mara ooh siku hazigandi uhalifu waliofanyiwa chadema unatisha na unatosha Sasa anzisheni jino kwa jino hu ushamba wa kusema Mungu yupo wakati mtu anakutia kidole cha tako ukome.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mkuu, ifike sehemu tuseme enough is enough. Jino kwa jino, tako kwa tako, mkono kwa mkono. Mambo ya kusema yana mwisho bila kuchukua hatua ni upuuzi. Likizuka varangati tutaheshimiana kwa kurudi kufanya mazungumzo.
 
Mkuu erthrocyte watu washachoka haya malalamiko Mara ooh Yana mwisho Mara ooh ipo siku Mara ooh siku hazigandi uhalifu waliofanyiwa chadema unatisha na unatosha Sasa anzisheni jino kwa jino hu ushamba wa kusema Mungu yupo wakati mtu anakutia kidole cha tako ukome.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere mwenyewe alipata kashkash akiutafuta uhuru kutoka kwa mkoloni. Kwanini wanaoutafuta uhuru kutoka kwa dhalimu mkoloni mweusi wasipate kashkash?

Yote hayo tunajua hakika kuwa yatatokea. Hakuna mhalifu au dhalimu au dikteta au fisadi atakayekubali kwa hiari kuachia dola. Anajua atakapoachia adhabu, jela aibu na udhalili vipo mlangoni vinamsubiri.
 
Propaganda nyingine unaziangalia unabaki kucheki tu,,,yaani mtu akamatwe kwa kuhamia upinzani???kwa threat gani aliyonayo????mkidanganywa kidogo tu wanasiasa mnajaa!!!jifunzeni kutathimini Mambo,ipo siku mtachukua Nchi huku mkiwa na ukakasi juu ya vitu vingi.
 
Back
Top Bottom