kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,217
- 853
Nguvu na rasilimali zinazotumiwa na CCM kuwaonea walio na mawazo tofauti na wao, laiti zingetumika kwenye maendeleo tungetumia mwaka moja tu kuwa dunia ya kwanzaView attachment 1381369
Maagizo ya Bashiru Ally yanaendelea kutekelezwa kwa kishindo na dola.
Pamoja na huyu wako viongozi wengine 8 waliokamatwa na kunyimwa dhamana kwa sababu zisizoeleweka.
Uonevu wa kishamba kama huu utakuja kuleta machafuko yasiyo ya lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app