Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

Kalamu1,
Taarifa niliyoiweka ni ya kuaminika , Polisi ya Tanzania ni duni mno linapofika suala la kutumikishwa na ccm , lakini ili kunogesha mambo unaweza kusikia mtuhumiwa huyu akiongezewa makosa mapya ya kukutwa na bangi au kutoa lugha ya matusi
 
Taarifa niliyoiweka ni ya kuaminika , Polisi ya Tanzania ni duni mno linapofika suala la kutumikishwa na ccm
ni uongo tumehakikish a taarifa yako haina ukwelini uchonganishi tu
 
Mkuu, mimi nimekuelewa saana.
 
hahaaaaaa eti tajiri ungekuwa tajiri ungekuwa unahangaika na chadema huko si unataka ulaji? maskini fukara tu wewe hina lolote
Aiseee !!! hakika usilolijua ni sawa na giza nene
 
Hujanielewa Kwa sababu hukutaka kunielewa na hilo ndilo tatizo linalowagharimu wapinzani mana hawajui hata Lugha ya kiswahili . Nakumbuka Shibuda alizomewa na wapinzani Kwa sababu ya wao kutojua lugha ya kiswahili zaidi ya kukurupuka. Ndio wale wale wanaomtukana Mbatia baada ya kwenda Ikulu kupambana na dola ,tatizo ni lugha.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kumuingiza Mbatia umeharibu
 

Kama kuhama chama cha policcm ni kosa la jinai, basi itabidi sheria na katiba vitamke hivyo.
Mimi naona kuwa salama ni kuhama kimoyomoyo na kuthibitisha hilo kwenye sanduku la kura. Yaani unakaa nao, unakula nao, lakini kwenye sanduku la kura, unahamia chama ukipendacho.
 
Poleni wana CCM, nili ndilo chama lenu, ukishalichoka we lipende tu hivyo hivyo lilivyo...ni ndoa ya kikristo hainaga talaka hadi kaburini...

Ukiamua kuliacha yatakayokukuta usilaumu mtu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…