Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

Nguvu na rasilimali zinazotumiwa na CCM kuwaonea walio na mawazo tofauti na wao, laiti zingetumika kwenye maendeleo tungetumia mwaka moja tu kuwa dunia ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari kama hizi huwa zinanifanya niwaelewe wale wanaokubali kujitoa mhanga.
Wanao jitoa mhanga siyo wajinga, fatilia history ya Somalia huu upuuzi ulikuwepo kabla ya wamarekani kuwavuruga.
Mara nyingi, wao Ni wachache kuliko raia wa kawaida, ikitokea raia wakaingiwa na little roho la kujitoa mhanga watajuta
 
Hao waliohama CCM ni jasiri sana.
 
Tupe maelezo ya hiyo article mkuu naona bandiko lako limetawala maelezo yako... Sisi tutajuaje kama ni kweli au la... ama unataka tuamini kila habari inayoletwa JF?
 
Hivi watanzania sisi ni wajinga au wapole!!!
 
Eeenh, "Mbatia alikwenda ikulu kupambana na dola"?

Kweli JF inakila aina ya vichwa!


Kama ni lugha ya kiswahili kama unavyoandika, hebu kasome tena lile bandiko refu uliloweka hapo juu.
Maanake imenilazimu nikalisome lote nione nilipokosa kuelewa kiswahili!

Badala yake niliona 'mkorogo' wa lugha uliotumika hapo. Halieleweki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…