Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi


Ni kweli mkuu, ifike sehemu tuseme enough is enough. Jino kwa jino, tako kwa tako, mkono kwa mkono. Mambo ya kusema yana mwisho bila kuchukua hatua ni upuuzi. Likizuka varangati tutaheshimiana kwa kurudi kufanya mazungumzo.
 
Nyerere mwenyewe alipata kashkash akiutafuta uhuru kutoka kwa mkoloni. Kwanini wanaoutafuta uhuru kutoka kwa dhalimu mkoloni mweusi wasipate kashkash?

Yote hayo tunajua hakika kuwa yatatokea. Hakuna mhalifu au dhalimu au dikteta au fisadi atakayekubali kwa hiari kuachia dola. Anajua atakapoachia adhabu, jela aibu na udhalili vipo mlangoni vinamsubiri.
 
Propaganda nyingine unaziangalia unabaki kucheki tu,,,yaani mtu akamatwe kwa kuhamia upinzani???kwa threat gani aliyonayo????mkidanganywa kidogo tu wanasiasa mnajaa!!!jifunzeni kutathimini Mambo,ipo siku mtachukua Nchi huku mkiwa na ukakasi juu ya vitu vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…