Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waachishwe kazi? Nyie wenzetu huwa hamuwajui wanasiasa? Askari wa Kenya ni wakatili kuliko hata unavyoweza kudhani.HAO ASKARI WA KENYA WAMEMVUNJIA HESHIMA RAIS WAO KWA KIASI KIKUBWA SANA NADHANI SOON WATAACHISHWA KAZI.
Kama ni Kipimo hayo mahindi yalikuwa ya magendoNimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na askari wa Kenya na kupelekwa eneo la Kehancha huko Kenya katika jitihada za askari wa Kenya kuficha tukio hilo.
CHANZO CHA MGOGORO
Inasemwa kuwa mgogoro ulianza baada ya maafisa wa Kenya kusema kuwa katika mahindi yaliyopimwa asilimia 55 ni mazima na asilimia 45 yana sumu kuvu hivyo wanaenda kuyachoma moto huko Kehancha.
Wafanyabiashara wa Tanzania wakatoa sharti kuwa hayo mahindi basi yachomwe moto huku wakiona jambo ambalo wakenya walikataa na kuwaambia hawawezi kuwapangia namna ya kuchoma mahindi hayo.
Basi wakaanza kuyapakia kwenye malori kwa nguvu na watanzania wakagoma ndipo askari wa Kenya wakawafyatulia risasi Watanzania kadhaa na kujeruhi kadhaa na kukimbiza baadhi ya majeruhi.
Na wale waliokua wanatekwa na watu wasiojulikana wamejumlishwa kwenye goggle na bado Kenya waongoze...Waachishwe kazi? Nyie wenzetu huwa hamuwajui wanasiasa? Askari wa Kenya ni wakatili kuliko hata unavyoweza kudhani.
Google kwa mwaka ni nchi gani hapa East Africa ambayo polisi wameua raia wengi, utapata majibu.
Hunaga akiliNa wale waliokua wanatekwa na watu wasiojulikana wamejumlishwa kwenye goggle na bado Kenya waongoze...
Huwa nawaambia kila siku humu, Watanzania hamna Serikali nyie, hilo ni genge la wahuni wa CCM kwa ajili ya maslahi yao...Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na askari wa Kenya na kupelekwa eneo la Kehancha huko Kenya katika jitihada za askari wa Kenya kuficha tukio hilo.
CHANZO CHA MGOGORO
Inasemwa kuwa mgogoro ulianza baada ya maafisa wa Kenya kusema kuwa katika mahindi yaliyopimwa asilimia 55 ni mazima na asilimia 45 yana sumu kuvu hivyo wanaenda kuyachoma moto huko Kehancha.
Wafanyabiashara wa Tanzania wakatoa sharti kuwa hayo mahindi basi yachomwe moto huku wakiona jambo ambalo Wakenya walikataa na kuwaambia hawawezi kuwapangia namna ya kuchoma mahindi hayo.
Basi wakaanza kuyapakia kwenye malori kwa nguvu na Watanzania wakagoma ndipo askari wa Kenya wakawafyatulia risasi Watanzania kadhaa na kujeruhi kadhaa na kukimbiza baadhi ya majeruhi.
Haya mawazo yako huwa unawazia matak()Ni Kama huyo marehemu wa Chatho siyo?Nilidhani wewe Chadema utafurahi, Hawa jamaa aliwaweza Magufuli Sasa huyu mh sijui Kama tutatoboa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Siwezi kutukana Mkuu wewe endelea tuu nakuhesabia zikifika nne ntapata ban vizuriHunaga akili
tzkwanzaWAZIRI WA MAMBO YA NDANI CHUKUA HELKOPTA NENDA ENEO LA TUKIO ACHA KUTEGEMEA TAARIFA ZA MKUU WA WILAYA.
PIA BALOZI WA TANZANIA SOGEA ENEO LA TUKIO UPATE UKWELI.
Hivi nchi yetu imekuwa ya kimama eeh!? Kwani hatuna amirijeshi mkuu😭😠!?Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na askari wa Kenya na kupelekwa eneo la Kehancha huko Kenya katika jitihada za askari wa Kenya kuficha tukio hilo.
CHANZO CHA MGOGORO
Inasemwa kuwa mgogoro ulianza baada ya maafisa wa Kenya kusema kuwa katika mahindi yaliyopimwa asilimia 55 ni mazima na asilimia 45 yana sumu kuvu hivyo wanaenda kuyachoma moto huko Kehancha.
Wafanyabiashara wa Tanzania wakatoa sharti kuwa hayo mahindi basi yachomwe moto huku wakiona jambo ambalo Wakenya walikataa na kuwaambia hawawezi kuwapangia namna ya kuchoma mahindi hayo.
Basi wakaanza kuyapakia kwenye malori kwa nguvu na Watanzania wakagoma ndipo askari wa Kenya wakawafyatulia risasi Watanzania kadhaa na kujeruhi kadhaa na kukimbiza baadhi ya majeruhi.
Kenya na TZ hazijawahi kuwa marafkki...kazi iendelee..Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na askari wa Kenya na kupelekwa eneo la Kehancha huko Kenya katika jitihada za askari wa Kenya kuficha tukio hilo.
CHANZO CHA MGOGORO
Inasemwa kuwa mgogoro ulianza baada ya maafisa wa Kenya kusema kuwa katika mahindi yaliyopimwa asilimia 55 ni mazima na asilimia 45 yana sumu kuvu hivyo wanaenda kuyachoma moto huko Kehancha.
Wafanyabiashara wa Tanzania wakatoa sharti kuwa hayo mahindi basi yachomwe moto huku wakiona jambo ambalo Wakenya walikataa na kuwaambia hawawezi kuwapangia namna ya kuchoma mahindi hayo.
Basi wakaanza kuyapakia kwenye malori kwa nguvu na Watanzania wakagoma ndipo askari wa Kenya wakawafyatulia risasi Watanzania kadhaa na kujeruhi kadhaa na kukimbiza baadhi ya majeruhi.
Police wa Kenya wanapenda sana rushwa inawezekana hayo mahindi walitaka kwenda kuyapiga bei sehemuHii ni hatari, uchunguzi ufanyaike na kama ni kweli hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na hao polisi kuadhibiwa.
Inasikitusha sana tukio hilo lingeweza kushughulikiwa kidiplomasia bila kuumiza mtu yoyote.