Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

Kenya na TZ hazijawahi kuwa marafkki...kazi iendelee..
sema ccm na kenya. sisi watanzania ni marafiki wazuri tu. Jiwe na Raila, Mama na Uhuru. wakati wenu umekwisha
 
sasa na wale wanyama wanaoenda kenya kupata mimba na kuja kuzaa huku utakuwaje kama wakionekana wana mimba si watazuiwa wasirudi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…