Siri 5 za Ndoa Inayodumu

Tatizo hapa, kumbe wanakuwa tu na busara mbele za watu halafu kumbe ndani wamenuniana 😜
Hao ndio washauri wazuri kwa sababu wanaweza kununiana wao wao kisha wakija mbele za watu minuniano wanaitupilia mbali.
 
Yangekuwa hayana formula yule kocha wa Man city asingegawana mali na mkewe
Yule mke wake ni msengeeee sana.
Eti pep yupo busy sana na bolii. Kwani alimkuta pep akiwa busy na udaktari?
Hiyu futiboli sii ndio imempa maisha mazuri kasari nanprivate jets na kuenjoy maisha leo inakuwa kisingizio.
Ungrateful woman
 
Yule mke wake ni msengeeee sana.
Eti pep yupo busy sana na bolii. Kwani alimkuta pep akiwa busy na udaktari?
Hiyu futiboli sii ndio imempa maisha mazuri kasari nanprivate jets na kuenjoy maisha leo inakuwa kisingizio.
Ungrateful woman
Hata ukimtukana mdada wa watu haisaidii washagawana mali
 
Usisahau pia kuna kuwekwa selo ukimzabua makofi mkeo so jiandae hasa ukiwa na mke much know.
Akiniweka selo aisee nikitoka nisimkute nyumbani ..maana haitakuwa kofi itakiwa kifirooooo na mauaji
 
Nambie niijue 😂😂
Mwanamke kumpigia magoti mumewe pale......

1. Wanaposalimiana

2. Anapomkarisha chakula mezani

3. Anapompa/kupokea kitu chochote

4. Kumpa mumewe uroda bila masharti.

Mambo hayo yamebeba kitu linaitwa UNYENYEKEVU.

Hiyo ndio siri.
 
Utaanzaje anzaje kumuuliza mwanaume kuhusu sex alafu ukute mwanaume ni mnyakyusa
 
Hakunaga siri ndoa kudumu muhimu kila mtu ajue majukumu yake kingine ni uvumilivu
Kwa ninavoamini siri ya ndoa nzuri ni maombi kuomba sana hasa mwanamke inabidi usiwe mvivu wa kuomba omba sana amka usiku wa manane omba ombea mume watoto mipango yenu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…