Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
IsemeSiri ya ndoa ni moja tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IsemeSiri ya ndoa ni moja tu....
Namie ndo naitafuta ili nijue....Iseme
Ungesema mapema ningekupa🤣Namie ndo naitafuta ili nijue....
Hao ndio washauri wazuri kwa sababu wanaweza kununiana wao wao kisha wakija mbele za watu minuniano wanaitupilia mbali.Tatizo hapa, kumbe wanakuwa tu na busara mbele za watu halafu kumbe ndani wamenuniana 😜
Yatumieni sasaYote tunayajua haya
Wote wawiliNani alikosea formula kati ya kocha na mtalaka wake?
Na iwe hivyoUbarikiwe.
Yule mke wake ni msengeeee sana.Yangekuwa hayana formula yule kocha wa Man city asingegawana mali na mkewe
Hata ukimtukana mdada wa watu haisaidii washagawana maliYule mke wake ni msengeeee sana.
Eti pep yupo busy sana na bolii. Kwani alimkuta pep akiwa busy na udaktari?
Hiyu futiboli sii ndio imempa maisha mazuri kasari nanprivate jets na kuenjoy maisha leo inakuwa kisingizio.
Ungrateful woman
Usisahau pia kuna kuwekwa selo ukimzabua makofi mkeo so jiandae hasa ukiwa na mke much know.9. Usisahau kumzambua makofi mkeo pale anapokosea. Hii hudumisha heshima
Akiniweka selo aisee nikitoka nisimkute nyumbani ..maana haitakuwa kofi itakiwa kifirooooo na mauajiUsisahau pia kuna kuwekwa selo ukimzabua makofi mkeo so jiandae hasa ukiwa na mke much know.
Sii ndio lengo lenu nyie kenge....ndoa ni source of income kwenu nyie kengeHata ukimtukana mdada wa watu haisaidii washagawana mali
Nambie niijue 😂😂Ungesema mapema ningekupa🤣
Mwanamke kumpigia magoti mumewe pale......Nambie niijue 😂😂
Utaanzaje anzaje kumuuliza mwanaume kuhusu sex alafu ukute mwanaume ni mnyakyusaKabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5....
1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu.
Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure (Zab 127:1). Jikabidhi kwa Mungu awe mwamuzi wako - Yeye huona kile ambacho moyo huficha.
2. Jadiliana maswali magumu na mwenza mtarajiwa wako.
Jua imani, ndoto na maoni yake kuhusu pesa, sex na familia.
Je! watu wawili waweza kutembea pamoja wasipopatana (Amosi 3:3)? Puuza alama nyekundu mapema , vinginevyo utakumbana na machozi mekundu baadaye.
3. Ndoa hustawi katika jamii.
Kaa karibu na wanandoa wenye busara na washauri wacha Mungu.
Biblia inaelekeza kwamba mipango hushindwa kwa kukosa mashauri (Mithali 15:22).
Mti pekee huvunjika kwa urahisi, lakini msitu husimama imara.
4. Jadililiana na mwenza wako mtarajiwa kuhusu mawasiliano, fedha, na wakwe kabla ya kuingia katika ndoa.
Hekima ni jambo kuu (Mithali 4:7). Upendo peke yake hautalipa bili au kutatua mapigano - hekima itakuwa. Jenga msingi imara kabla ya kujenga nyumba.
5. Sex ni kifungo kitakatifu, si jaribio la majaribio.
Biblia inakazia kwamba ndoa inapaswa kuheshimiwa na wote (Ebr 13:4).
Moto kwenye mahali pa moto hupasha joto nyumba. Moto mahali pabaya unateketeza nyumba. Kaa karibu na Mungu yeye huwa anaandika hadithi bora za mapenzi.
Kwa ninavoamini siri ya ndoa nzuri ni maombi kuomba sana hasa mwanamke inabidi usiwe mvivu wa kuomba omba sana amka usiku wa manane omba ombea mume watoto mipango yenu uchumiHakunaga siri ndoa kudumu muhimu kila mtu ajue majukumu yake kingine ni uvumilivu
Unataka kusema sisi wanyakyusa tuna nini?Utaanzaje anzaje kumuuliza mwanaume kuhusu sex alafu ukute mwanaume ni mnyakyusa
Oh vzr sanaKwa ninavoamini siri ya ndoa nzuri ni maombi kuomba sana hasa mwanamke inabidi usiwe mvivu wa kuomba omba sana amka usiku wa manane omba ombea mume watoto mipango yenu uchumi