Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Wababe na watemiUnataka kusema sisi wanyakyusa tuna nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wababe na watemiUnataka kusema sisi wanyakyusa tuna nini?
😂😂😂 sio kweli mm sipo ivyoWababe na watemi
Kwani wanaume wa kinyakyusa wapoje kwenye mijadala ya sex?Utaanzaje anzaje kumuuliza mwanaume kuhusu sex alafu ukute mwanaume ni mnyakyusa
Hela haihusiki?Mwanamke kumpigia magoti mumewe pale......
1. Wanaposalimiana
2. Anapomkarisha chakula mezani
3. Anapompa/kupokea kitu chochote
4. Kumpa mumewe uroda bila masharti.
Mambo hayo yamebeba kitu linaitwa UNYENYEKEVU.
Hiyo ndio siri.
Hela ya matumizi yote si inatoka kwake!?Hela haihusiki?
Thanks na hongera sanaKabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5....
1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu.
Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure (Zab 127:1). Jikabidhi kwa Mungu awe mwamuzi wako - Yeye huona kile ambacho moyo huficha.
2. Jadiliana maswali magumu na mwenza mtarajiwa wako.
Jua imani, ndoto na maoni yake kuhusu pesa, sex na familia.
Je! watu wawili waweza kutembea pamoja wasipopatana (Amosi 3:3)? Puuza alama nyekundu mapema , vinginevyo utakumbana na machozi mekundu baadaye.
3. Ndoa hustawi katika jamii.
Kaa karibu na wanandoa wenye busara na washauri wacha Mungu.
Biblia inaelekeza kwamba mipango hushindwa kwa kukosa mashauri (Mithali 15:22).
Mti pekee huvunjika kwa urahisi, lakini msitu husimama imara.
4. Jadililiana na mwenza wako mtarajiwa kuhusu mawasiliano, fedha, na wakwe kabla ya kuingia katika ndoa.
Hekima ni jambo kuu (Mithali 4:7). Upendo peke yake hautalipa bili au kutatua mapigano - hekima itakuwa. Jenga msingi imara kabla ya kujenga nyumba.
5. Sex ni kifungo kitakatifu, si jaribio la majaribio.
Biblia inakazia kwamba ndoa inapaswa kuheshimiwa na wote (Ebr 13:4).
Moto kwenye mahali pa moto hupasha joto nyumba. Moto mahali pabaya unateketeza nyumba. Kaa karibu na Mungu yeye huwa anaandika hadithi bora za mapenzi.
Magoti ni kuanzia sh ngapi? Au hata buku inaenda na goti?Hela ya matumizi yote si inatoka kwake!?
Akikupa pokea kwa kupiga goti mwanawane 😂
Kuanzia nyanga na kuendelea😂Magoti ni kuanzia sh ngapi? Au hata buku inaenda na goti?
Wanyakyusa wapogo serious sanaKwani wanaume wa kinyakyusa wapoje kwenye mijadala ya sex?
Pole kwa yaliyokukuta kwa huyo mwanaume wa kinyakyusaWanyakyusa wapogo serious sana
Hajanikuta naona kwa wenginePole kwa yaliyokukuta kwa huyo mwanaume wa kinyakyusa
Basi itakuwa wewe ni mmbea 🤣Hajanikuta naona kwa wengine
🤣🤣🤣Basi itakuwa wewe ni mmbea 🤣