Siri ambayo inanifanya nijihisi mzito na kubaki njia panda

Siri ambayo inanifanya nijihisi mzito na kubaki njia panda

Maisha haya jamani!
Ukute binamu yako kamloga mkewe apate saratani ili afe mapema.
Mi namuombea maisha marefu huyo binamu yako...mke akishafariki ikipita kama miaka kumi hivi naomba uje hapa utupe mrejesho anaendeleaje.
 
Nilipokuwa form two nilimkuta madam wetu ambaye alikuwa mkuu wa shule/head mistress anakojoa pembezoni mwa barabara aliponiona akashtuka, huku akiwa na aibu iliyochanganyikana na na tabasamu hafifu akasema "we secretarybird njoo tukojoe" nami sikushtuka nikamwambia tu "shikamoo madam".

Yule madam akawa ananipendelea katika Kila jambo pale shuleni mpaka nikamaliza shule, na siri yake sikuitoa, leo ndiyo mara ya Kwanza kuitoa.

Cc: Poor Brain, Monetary doctor, BRAZA CHOGO, underscore itembe.
 
Kuna mengi niliyofanya na watu wengine japo sijasikia uvumi wowote lakini naona jau saa zingne

Afu watu wakiona wanajua nasomea upadri mm sasa ndiyo

Lakini wangejua ninacheza juu ya meza na kula shisha 😃
 
Siri ni ya mtu mmoja zaidi ya mmoja hakuna siri hapo never, mfano umeua na akuna aliekuona iyo ni siri yako,
 
umesema siri mara ushatuambia hio nayo sio siri halaf siri gani mnaijua wanafamilia?? siri unabaki nayo rohoni kuna mambo lazima ufukiwe nayo chini, huna kifua cha mbele wala cha nyuma unaonekana huwezi kutunza siri yan friji lako compressor ni mbovu hatari haligandishi
 
Back
Top Bottom