Siri ambayo inanifanya nijihisi mzito na kubaki njia panda

Siri ambayo inanifanya nijihisi mzito na kubaki njia panda

Mbona umeshatusimulia sasa😃😄

Kuna mambo mengine naona kabisa nikiingia nayo kaburini walahi,. Mdomo wangu uendelee tu kunisaidia kula 🤐
 
Nimewaficha miaka mingi sana sasa acha niseme kama mtaniua basi.
Kusema ukweli mimi ndiye niliyewapasua kalio hadi likaitwa makalio. Mlikua mnalo moja kama pulizo mimi nikaamua kuligawanya
🤔
 
Mfalme ana masikio kama ya punda.....

Kuna jamaa alikuwa na HIV+ akaniambia na kunambia nisije mwambie mke wake yule jamaa alikuwa na miaka kama 55 mwanamke 27 tu.

Nilimwambia mtu mmoja amwambie yule mwanamke akapime kisiri kisha achukue maamzi. Nikafanikiwa na jamaa hakunijua hadi leo.Yule mwanamke alikuwa anatoka na jamaa wa size yake hivyo ilibidi aambiwe huyo kijana ana ngoma unaye toka nae kapime!
 
Mambo ya mahusiano ni magumu sana for really.
Kuna mke wa mtu anapigwa nje na jamaa angu,jamaa mpaka anamfi.ra..mumewe kagundua mke keshaharibika mku.ndu..mume yuko dilemma amtimue au amuache.
 
"Nimeshangaa hapo anapongojea afe ili aendelee maisha yake kwa furaha....Asichokijua binamu anaweza KUTANGULIA yeye.
 
Back
Top Bottom