Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Kabla ya dini dunia ilikuwa salama kuliko tulivyo Sasa .....dini zimeleta chuki ,watu wanatengana na kuishi bila upendo Kama si wa dini moja n.k
Imagine Africa ingekuwa inaishi kila jamii kwa tamaduni zake as it used to be kabla ya dini kutia nanga
 
Kabla ya dini dunia ilikuwa salama kuliko tulivyo Sasa .....dini zimeleta chuki ,watu wanatengana na kuishi bila upendo Kama si wa dini moja n.k
Imagine Africa ingekuwa inaishi kila jamii kwa tamaduni zake as it used to be kabla ya dini kutia nanga
Wewe usipumbaze watu.
 
Kabla ya dini dunia ilikuwa salama kuliko tulivyo Sasa .....dini zimeleta chuki ,watu wanatengana na kuishi bila upendo Kama si wa dini moja n.k
Imagine Africa ingekuwa inaishi kila jamii kwa tamaduni zake as it used to be kabla ya dini kutia nanga
Nani kakudanganya? Kulikuwa na mauji ya koo, na mila potofu, huko Nigeria mapacha waliuawa mara tu baada ya kuzaliwa kwakuwa iliaminika ni laana

Wazee waliuawa kwa kuaminika ni wachawi, wizi wa mifugo kati ya jamii na jamii ilikuwa kubwa. Magonjwa yaliuwa watu vibaya sana.

Wamasai waliua vilema, wagonjwa na watu wafupi. Amani haikuwepo kwakua dunia ilikiwa tayari haina ustaarabu. Dini ilileta haueni
 
Mkuu kama wao wamedanganya ina maana Biblia ya NIV ni upotoshaji si ndio maana yake?? Hivyo unakubali kuwa NENO la Mungu limechezewa na wakristo zaidi ya Billion 2 wanasoma maandiko feki?? Sasa nini hatma ya ukristo kama neno la Mungu linaweza chakachuliwa na mtu yeyote tu.

Embu tuwekane sawa hapo,ina maana shetani ameshinda??
 
Swali jingine tujiulize kwanini vimeondolewa kama biblia ni kitabu tu cha story au sio kitakatifu km wasemavyo wengine?biblia ina siri gani ambayo walitoa hawataki tujue....
Mfano ukweli juu ya watchers walivyoingiliana na wanadamu kama mwanzo 6 inavyosema bado ni topic of controversy na implications zake mpaka leo bado zipo.

Pia ukweli wa kilichotokea garden of Eden kama ilivyoelezewa kwa ufasaha zaidi kwenye 1st book of adam and eve.... Pia issue ya Mnara wa babeli ina controversy nyingi ambazo Biblia haijaziweka wazi zaidi..

Pia such stories mfano Musa alikwenda Ethiopia sio midian kama ilivyoelezwa kwenye Yasher... Pia ukweli juu ya Yuda kama anavyoongelewa kwenye Gospel of Judas tofauti na anavyoitwa msaliti kwenye injili ya mathayo na wenzake n.k such contents ndio nachoita SIRI ILIYOFICHWA
 
Yawezekana ikawa fake ndio maana imeandikaa miaka ya 70, namshukuru Mungu biblia ya kiswahili ipo full toka kwa King James version. Wala usione tabu kuona biblia inachakachuliwa biblia iyoiyo ilishatabiri hayo. Ulimwengu huu umeshaanguka
 
Yawezekana ikawa fake ndio maana imeandikaa miaka ya 70, namshukuru Mungu biblia ya kiswahili ipo full toka kwa King James version. Wala usione tabu kuona biblia inachakachuliwa biblia iyoiyo ilishatabiri hayo. Ulimwengu huu umeshaanguka
Hapana mkuu Biblia ya sasa ya kiswahili sio tu king james nimeziona nyingi zilizo sokoni ni za NIV.... Yaani hiyo mistari niliyoitaja hapo juu pia imefutwa hata kwenye Bible ya kiswahili afterall wadhamini ndio hao hao wazungu na ndio wanaotaka NIV itumike zaidi kwahiyo miaka 10 ijayo kutakuwa hakuna kabisa king james bible ya kiswahili.

Yajayo hayafurahishi!!
 
Kusipokuwa na hiyo bible si ndo vzr kusudi Quran itamalaki mkuu!
 
Kusipokuwa na hiyo bible si ndo vzr kusudi Quran itamalaki mkuu!
Tofautisha Bible kutokuwepo na king James BIBLE kutokuwepo..... Ikimaanisha itakuwepo NIV ya kiswahili ambayo imefuta maandiko kadhaa ya Biblia ya KJV kwahiyo swali linabaki nini hatma ya neno la Mungu kama wahuni wachache wa miaka ya 70 wanaweza futa maneno ya Mungu na kuchakachua Biblia hadi kupotosha mabilion ya wakristo??
 
Ushahidi tafadhali
 
Njoo na hoja ....
Leta usalama wa dunia ukiwa na dini na Mimi ntakuletea usalama wa dunia bila dini ....
Dini inaharibu vp usalama wa dunia,hebu eleza usalama uliyopotea na uoneshe uhusika wa dini.
 
Dini ilileta vip ahueni wakati Hadi leo mkristu hawezi kuolewa na muislam ,watu wanajitoa mhanga wakijipa moyo kuua makhafir (ambao si wa dini yao ) unahesabiwa haki ,... Bado mkristu na muislam hawaezi kushirikiana kwenye mambo mengi kwa sababu ya tofauti zao ,mmoja anaona ndio Ana haki na pepo kushinda mwingine automatically anamuona mwenzake wa shetani yeye Ni wa Mungu ,... Bado hata uingiaji wa Christianity iliingia kwa crusade (Kama wewe si mkristu kipindi hicho ulikuwa hupew haki zako za msingi as human being ) ,Islamic ilifanyika jihad kuusambaza halafu unasema dini ilileta ahueni .....

Mambo ya uchawi yalianza kushika Kasi na kuonekana ushenzi baada ya dini kuingia (wakiaminisha uchawi Ni ushetani na kuanza kuwapiga Vita wanaojihusisha na hayo mambo ) na kiukweli watu wameanza kupata negative perception kuhusu uchawi baada ya dini kutamalaki ila uchawi haukuwa wa ajabu kiasi hicho ,..
Ishu ya laana za mapacha kuuwawa ilikuwa Ni baadhi ya iman chache Kati ya nyingi zilizotakiwa kuondolewa na kuendeleza Yale ya msingi (si Imani zote za mababu zetu zilikuwa za kutupa ,zilikuwepo nzuri za kuendeleza Kama part ya tamaduni zilizokuwepo )

Islamic Ni tamaduni za kiarabu
Christianity ilitokana na tamaduni za Western Europe huko
Shiva na hindu Ni tamaduni za Asia

Hata hapa kwetu tungekuwa na nguvu ya kuweka tamaduni zetu za kisukuma mf. Au kihaya n.k tukachambua mazuri na kuya publish na kuyaingiza dunian kwa nguvu zingekuwa Ni dini kubwa tu dunian ndicho ambacho waarabu na Europe walifanya

Kila mtu na arudi kwenye tamaduni zake (Islamic na Christianity sio tamaduni zako muafrica hazikuhusu )
 
Unajua tatizo likuja kwa hawa watu wafia dini na imani zao hawataki kuhoji chochote kwenye hivi vitabu vya dini, wanaamini ukianza kuhoji jambo kutoka kwenye bible au quran basi utakua sio muamini au unadhiaki,

Jamani wakistro na waislamu tujiwekee tabia ya kuuliza au ku reason kitu kama ukielewi sio sababu ni kitabu kitakatifu basi ndio ukiamini kwa asilimia zote, kama ukitambua kuwa baadhi ya maandiko yamefanyiwa ukarabati na watu kama wewe kwanini usiamaini kama watu hao wanaweza kukupotosha kwa maandiko hayohayo?
 
Aliyetunga kitabu cha physics, chemistry, biology, sheria nk. hao vp ?? Biblia/ Dini mm huwa naona ni ugunduzi kama gunduzi nyingine dunian, mengine ni mbwembwe tu za binadamu.
 
Hoja yako ni nyepesi sana
Mbona jarida la Playboy ni maarufu duniani kwahiyo limeanzisha na ntu asiye wa kawaida ?
Meme mbna silijui hilo jarida mkuu acha kulinganisha umaashughuli wa biblia na mambo mengine ya kipumbavu
 
Mkuu haya unayotaka kuleta ni amhubiri juu yaquran yako tukufu! Unatoka nje ya mada ingawa hata iyo quran yako ina mapungufu mengi tu amabayo wewe ujayajua lakini atupo hapa kuelezea kipi kitabu sahihi na kipi sio

Rudi kwenye reli mkuu
 
Hahah! Kiranga usitupoteze kwenye uzi wetu wa bible kuhusu uwepo wa Mungu subiri wadau wajipange tena tena watakufungulia nyuzi kukubanani juu ya uwepo wa Mungu

Kwasasa acha tuijadili hii biblia tu
 
Hahah! Kiranga usitupoteze kwenye uzi wetu wa bible kuhusu uwepo wa Mungu subiri wadau wajipange tena tena watakufungulia nyuzi kukubanani juu ya uwepo wa Mungu

Kwasasa acha tuijadili hii biblia tu
Unaweza kabisaa kuijadili Biblia seriously kama Mungu anayeelezwa na Biblia ana maswali ambayo huwezi kuyajibu?

Ukaacha kujadili maswali hayo, ukaendelea kujadili biblia tu?

Ukifanya hivyo utakuwa huielewi Biblia wala Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…