Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Kama ni siri iliyofichwa wewe umeijuaje?
 
agano jipya lazuma iwe hivo na ukinzani maana ni masumuliz yaliyounganishwa toka kwa vizaz vya wanafunz wa masihi ,sasa fasihi simulizi inatabia yakuongezewa chumvi na mda mwingine kupungukiwa uhalisia
 
Using Intellectual knowledge to understand the Words of God is not a key, the guidance of Holly spirit is necessary, read as you eat something good digest it, absopt it and assimilate it you will extra ordinary people. Faith in the word of God is a key. Act, think, walk with it, Intellectualellizing the word of God is putting someone in danger.
 
yote kwa yote mzee THE BOOK OF ENOCH hiki kitabu kingebaki lengo la shetani kuudanganya ulimwengu lisingepita kiurahisi kama ilivyo leo, yaani leo hii kadiri unavyoelimika ndio unazidi kuwa mpuuzi tu. Mfano kwa kitabu cha Enoch upuuzi ufuatao kamwe usingetushika watu na akili zetu;
1. Kwamba Dunia inazungunguka tena 1000KM/Hr (very nonses to believe) wakati kamwe tangu uzaliwe hujawahi hata kuhisi hatua moja ya mzunguko huo na macho na akili zako zote zinakushuhudia kuwa the world is stationary!!
Book Of Enoch imefafanua wazi sana state ya dunia na universe kwa ujumla kwamba dunia ipo stationary pasipo utata wa kuhoji.

2. Kwamba jua lipo stationary ( Hii ndio highest degree of making us foolish asee) yaani siku zote unalishuhudia jua linavyokata mbuga halafu unasema eti limesimama!!! shetani sio tu ni baba wa uongo lakini pia ni fundi wa kujitengenezea komedi kupitia sisi ili awe anatucheka muda wote wakati anaisubiri adhabu yake. The Book of Enoch imeclarify vizuri tena pasipo utata wa kuuliza swali la nyongeza kwamba, jua liko kwenye motion kuzungunga mduara wa dunia kwa ajili ya ku supply mwanga duniani tu NA WALA JUA SIO CENTER OF SOLAR SYSTEM KAMA TEAM NASA(LIERS) WANAVYOTUDANGANYA NA KISHA KUTUCHEKEA PEMBENI.

3. Kwamba jua lipo mile milion 93 kutoka duniani! (khaaaah) kiuhalisia jua lipo km chache tu kutoka kwenye anga letu na ushahidi ni macho yetu( bila shaka macho yetu hayana lenzi ya kuona mile 93 milion eeeeh)

4.Kwamba dunia ni duara kama tufe, tikiti maji au mpira!! (wanatucheka sana hapa pia) The Book Of Enoch ipo clear kabisa kuwa duania ni flat!! Yeees ni flat, macho akili na hata miguupia inashuhudia kuwa ni juu ya sehemu flat!

5. Kwamba jua ni kubwa kiasi kwamba dunia inaingia kama mara 1000 kwa size ya jua!!! Hahahaha! I hate this kind of fucking science aseee!! The Book of Enoch ime describe vema kabisa kuwa mianga hii miwili, yaani jua na mwezi viko katika same size kasoro moja inatoa mwanga na joto kali wakati mwingine una generate mwanga wake usio na moto taratibu na kisha una extinguish mwenyewe na kugenerate tena. Hii ya kwamba Mwezi unaakisi mwanga kwenye jua kamwe hai make sense na inahitaji nafasi ya kutosha sana kumpanga mtu hadi aamue kukukubalia uongo huu kwa kujilazimisha.

6. Kwamba nyota moja ni kubwa sana kuliko hata dunia, na jua pia ni nyota na kwamba nyota huzaliwa na kufa!!! Yeah The Book Of Enoch imefafanua bila shaka, kwamba nyota ni mianga midogo midogo sana tu ambayo inaning'inia kwenye firmament(anga letu) na kuzunguka pamoja na anga lote.

7. Kwamba mwezini ni somewhere unapoweza kwenda ukashuka ukafanya mambo yako halafu ukarudi!! Nooo, The Book Of Enoch imeu describe Mwezi kuwa mwezi hauna kitu chochote(Yaani sio hard object ambapo mtu anaweza kusimama) bali kitu kinachojaa mwanga taratibu na kisha kufifia na kuzima kabisa na kisha kuanza tena kujaa mwanga upya lakini huku ukiwa kwenye motion kuzunguka mduara wa dunia.

8. Kwamba Antarctika ni bara la saba kwa ukubwa!! Uongo huu ulidumu sana kipindi Mungu hajaruhusu ukweli uanikwe wazi na kila mtu aujue! Najuta kuimba nyimba za kukariri ukubwa wa mabara primary! Antarctika sio bara tena bali ni kingo zilizotufungia mabara na bahari zetu zote.... kitabu fulani Mungu anasema .... nimeiwekea bahari mipaka, wala haitaivuka hata mawimbi yake yakiumuka juu!! yeah ukuta wa antarctica ndio actual boundary ya bahari zote na mabara yote. The Book of Enoch Ime describe hili pia.

9. Kwamba dunia ina nguvu ya uvutano (gravitational Force). Uongo mkubwa mwingine ni huu unaojaribu kuhalalisha kwamba dunia ni duara na linazunguka. Hahahahah hawa jamaa bhana ni sheedah!

Mengine ni mengi yanayofafanuliwa na book of enoch lakini funga kazi kabisa ni hili:
10. Watu wa awali walikuwa ni blacks, na whites walitokea baada ya fallen angels (watchers) kushuka na kuzini na wanawake wa duniani, kisha kuzaliwa majitu, ambayo mutation yake ikatuletea whites people!! Book Of Enoch inafafanua zaidi kuwa fallen angels (watcher) walikuja na maarifa ya hali ya juu, ya mbinguni ambayo hayakupaswa kuwa sehemu ya maarifa kwa mwanadamu kwakuwa yangemharibu tu.

Tazama sas Heavy destructive weapons zinachofanya, na technolijia hizi zinachotufanya! Na tazama jinsi siri hizi za technolojia zinavyomiliwa na wazungu wanaomiliki Wajenzi huru!!

HITIMISHO.
Kwa yote hayo yanayobainishwa na The Book Of Enoch ni dhahili wazi lazima kitabu hiki wangekificha ili ajenda zao ziweze kupita na kuimbwa na wote huku wenyewe wakituchekea pembeni huku wakigonga cheers hasa wanapoona tunakomaa kupongeza kugunduliwa kwa sayari ambazo hazipo in reality bt in CGI tu!
 
Kwa kua vitabu vyote vya dini vinathibitisha kuwa Mungu yupo na uwezo wake unaonekana,basi nitamwabudu yeyetu. Ayo mengine nawaachia nyie wataalam.
 
Na Nakihitaji hiki kitabu.
Where can I get it?
 
Ndo maana hujalazimishwa kuiamini
 
Porojo
 
Biblia iliundwa kwa kukusanya vitabu vya dini vya wakristo hapo awali na kuunda kitabu kimoja. Kwa maana hii, Biblia ni vitabu teule vya dini vilivyoonekana vinafaa kutumika kwa waumini Wakristo ili kusaidia Imani yao. Hivyo basi, kama Biblia ni vitabu teule tuu vipo vitabu vingine vya dini ambavyo havikuwekwa Kwenye Biblia.

Wakristo wa kwanza walichagua vitabu kadhaa na kuviweka pamoja na kisha kuvita Biblia. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu muhimu tuu vya dini mpaka kufikia Enzi za Mitume.
 
Je, Biblia ndicho kitabu pekee cha neno la Mungu?

Hapana,
Biblia sio kitabu pekee cha neno la Mungu isipokua Biblia ni kitabu kilichoidhinishwa rasmi kutumika Kama kitabu kikuu cha Wakristo.

Hii ni kwa sababu Biblia imeundwa na vitabu muhimu tuu vilivyochaguliwa na wakristo wa kwanza vilivyoonekana vinafaa kwa kufundishia, Ibada na kukuza Imani. Kwa hiyo basi vipo vitabu vingine ambavyo havikuwekwa Kwenye Biblia ambavyo ni Maneno ya Mungu.

Hii ndiyo sababu kwa nini Wakatoliki wana vitabu vingi kuliko madhehebu Mengine. Yaani sababu ni kwamba madhehebu Mengine walivitoa vitabu vingine vilivyounda Biblia. Na Wakatoliki waliweka vitabu vingine vya dini Kwenye Biblia walivyoona vinafaa pia kutumika.
 
Je nje ya Biblia hakuna Neno la Mungu au Maandiko matakatifu?

Nje ya Biblia kuna Neno la Mungu na Maandiko Matakatifu.
Hii Inamaanisha kuwa Biblia sio kitabu pekee cha neno la Mungu. Zipo nyaraka na Vipo vitabu vingine vingi ambavyo viliandikwa na Manabii na Mitume ambavyo havikuwekwa kwenye Biblia lakini ni mafundisho ya Mungu.

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vikuu vya Mungu.

Kumbuka kuwa sio nyaraka zote za Mitume ziliandikwa Kwenye Biblia. Vile vile manabii walikuwa ni wengi kuliko waliowekwa Kwenye Biblia.

Biblia inatuthibitishia yenyewe kuwa haijakamilika na Si mambo yote yameandikwa Kwenye Biblia

(Yohane 21:25)
Biblia inatuambia hivi…

"Kuna mambo Mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo Kama yangeandikwa yote, moja baada ya jingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa."

…Kwa mstari huu Biblia inatuthibitishia kuwa haikuandikwa vitu vyote.
 
Kizungumkuti...

YOHANA 21:
24 Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli.


Haya semeni mwandishi wa maneno hayo ni nani?
 
Ukuu wote wa mungu ukuzungukao huuoni bali umeuna kwenye maandishi ya kitabu?

 
Tutasemezana mengi lakin ukweli ni huu: BIBLIA, QURAN na VITABU VINGINE VYA MAFUNDISHO YA IMAN, ni mkusanyiko tu wa sheria, hekima na busara katika simulizi na matukio vikilenga kuweka mising ya pamoja na imara namna bora binadam awe na mahusiano bora kat yake, na watu, na mazingira pamoja na Mungu.

Suala la Mungu mwenyew ndo alishusha ni katika tu kuvipa nguv ya kuaminika kwazo na kutopingwa kirahis hizo sheria na masimuliz. Kifup ni CODED NORMS. za mahali na nyakati. La binadam kama mnyama ingekuwa ngum kujamiiana vizuri. Uasi ungezid. Watawala pia wasingepata pa kuanzia kuwamudu watu. Asiye na HOFU hatawaliki.
 
Imani ya mwingine ni kama jinsia ya mwingine 😁😁

Kuna watu walikaa wakachagua vitabu walivyovipenda wao vya kufurahisha nafsi zao, halafu wanamsingizia Mungu 🤔

Dini Mpango Wa Binadamu. Imani Mpango Wa Mungu. Kivumbi Ni Huyo Mungu Utamfikiaje Bila Hizi Dini za Bin-Adam.


Yaani Ni Kama Adventista Wasabato Wanaikataa Roman Catholic Siyo Dhehebu LA Mungu Lakini Wanaukubali "UTATU MTAKATIFU" Ulianzishwa Na Kikao Cha Wahuni Wa Nicea Cha Hao Hao Waroma...
 
Ukifukunyua sana haya mambo utayafungasha kwenye fundo moja tu..USIMFANYIE MWENZIO USILOPENDA KUFANYIWA. Na hii ni tofaut kidogo na MFANYIE MWENZIO UNAYOTAKA KUFANYIWA PIA. Lengo ni kuifanya “universe“ mahala panapoishika. Pia ku regulate “ubovu“ wa asili wa viumbe wote wa (survival of the fittest). Mbwembwe nyingine ziweke tu kwenye kundi la ajira na utaftaji, iwe wa hali au wa mali.

Binadam ana uwezo mkubwa binafs kias kwamba namna pekee ya kupata suluhisho la kuyamudu mazingira yake ni kufanya JAMBO. Na kutumia mda mwing kuomba nguvu nyingine ikabiliane na changamoto hizo ni kukwepa tu kufanya JAMBO. (IF GOD CREATED THE WORLD, AND IF SO, HE MIGHT HAVE SET IT IN FULL CHARGE AUTOMATIC WATCH ONCE AND KEEPS JUST WATCHING)
 
Mkuu uzi ni wa mwaka 2018 lakini nina swali hapa.

Hivi ni nani anayehusika kubadiri maandiko kama wakiona kwamba kuna kitu hakiko sawa??
Au unapoandika "hawakuweka kitabu cha Enoch " unakuwa unarefer wakina nani hao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…