Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakua na refer na watu wa kanisa la kwanza waliohusika na new testament canon yaani mfumo wa kutambua vitabu vya agano jipya mfano Council of Jamnia iliyokaa huko Judaeah miaka kadhaa baada ya Yesu kufariki possibly 120 AD.Mkuu uzi ni wa mwaka 2018 lakini nina swali hapa.
Hivi ni nani anayehusika kubadiri maandiko kama wakiona kwamba kuna kitu hakiko sawa??
Au unapoandika "hawakuweka kitabu cha Enoch " unakuwa unarefer wakina nani hao??
Shukrani mkuu ngoja niisome
Kuna ufafanuzi mzuri katika link hiyo.
Biblia iliandikwa,kuhakikiwa na kuhaririwa kwa amri na matakwa ya wafalme.Mkuu uzi ni wa mwaka 2018 lakini nina swali hapa.
Hivi ni nani anayehusika kubadiri maandiko kama wakiona kwamba kuna kitu hakiko sawa??
Au unapoandika "hawakuweka kitabu cha Enoch " unakuwa unarefer wakina nani hao??
maelezo yako si kweli mkuu, kurani kamwe haijitoshelezi na ndio sababu hata wewe hapo bado unakaririshwa tu kuwa kuna Torat, Zaburi na Injili lakini nikikuuliza nitajie hata aya moja iliyoko kwenye injili huna kwakuwa hujui lolote kuhusu vitabu hivyo. Kama naongopa nikosoe kwa kuniambia Injili kipo wapi, kinasomwa na nani na mfano wa aya yake ni ipi? Fanya hivyo na kwa Zaburi na Torat pia!MKUU SIJAWAONA SHAKA YOYOTE NA ALLAH KAYASEMA HAYO AKIWA NA UHAKIKA KUWA SITAKUWA NA SHAKA,SIO MTU KUWA NA SHAKA TU PIA KAMA UNAHISI SIO KITABU CHAKE UMEPEWA RUHUSA YA KULETA KITABU KINACHOFANAN NA IYO QURAN WALAU AYA MOJA.....HALAFU HAKUNA KITABU KINAITWA BIBLE/BIBILIA KUNA TORAT ZABUR NA INJIL...HAIJAWAH TOKEA SHAKA HADI KUVIENDEA IVYO VIPANDE
Wee jamaa bhana umenichekesha sana, muislamu haifahamu torati, haifahamu zaburi wala haifahamu Injili zaidi ya kuambiwa tu kuwa kuna vitabu hivyo, hebu niambie kwa mujibu wa kuran, vitabu hivyo viko wapi, vinasomwa na nani? Kwa kunisaidia zaidi nitajie japo aya mbili katika kila kitabu kimojawapo!Waislam hatuwezi kusoma Bible ila tutasoma Injili, zaburi, taurati, na Qur'an tu. Sisi hatujui na wala hatuamini kuwa Bible ni kitabu cha Mungu.
Sababu(upande Wa new testament) ni source of information... Wale church fathers walipokea mtu aliyekuwa direct mwanafunzi wa yesu au alijuana nao first hand bila hivi hata kama kitabu chake kinasound aje hawakutaka hata kukisoma...hii ndo ilikuwa criteria ya vitabu vya NTMkuu siri ni hyo kwamba kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa kwa sababu X and Y na vingine vimebakizwa ilihali vina madhaifu hayo hayo ya X na Y hapo ndipo kuna siri ambayo natamani wote tui unlock hapa maana kuna uwezekano wachache wanaifahamu kwa gharama ya kupotosha wengine na hyo ndio SIRI inayozungumzwa hapa
Karibu tueleweshane
majisifu ya nini mkuu, we mwaga nondo zisomwe tu, ni ngumu mno kumrudisha mprotestant catholic kuliko kumchomoa mkatholic kwenda protestant, ni ngumu kama mpini wa jembe kupenya katika tundu la sindano.Ninakushukuru sana wewe,pamoja na "Sala na Kazi" kwa namna mlivyoweza kujibu hoja nyingi zilizojibandika katika uzi huu. Mmetumia maelezo ya kisomi sana kuhitimisha mjadala.Kwa kuwa uzi umekwisha kufika mbali, mimi nitaleta uzi pekee kueleza ni nani alifanya nini kuhusu Biblia na ni akina ni bendera fuata upepo tu linapokuja suala la Biblia na ni akina nani wanazalisha mambo ya kizushi kwamba kuna Injli hii au ile ilikataliwa tu lakini na yenyewe ilifaa kuingizwa katika Biblia.
Kuna watu kwa sababu ya kufichwa historia,wanaamini kuwa wanaifahamu sana Biblia, kumbe wanakimbia na vipande vya Biblia tu huko waliko.Na kwa kuwa wameendelea kupiga mayowe muda mrefu na wanafanya hivyo wakifikiria wao ndio wenye ukweli,basi muda si mrefu tutaweka mambo hadharani.Na nina imani ukweli huo utakapowekwa hadharani hawatabaki salama huko waliko.
mkuu, kitabu cha henoko kimewiana na vitabu vya biblia kwa kiwango kikubwa sana mzee. pitia tena.Sababu(upande Wa new testament) ni source of information... Wale church fathers walipokea mtu aliyekuwa direct mwanafunzi wa yesu au alijuana nao first hand bila hivi hata kama kitabu chake kinasound aje hawakutaka hata kukisoma...hii ndo ilikuwa criteria ya vitabu vya NT
Upande wa OT pia hiko kitu waliangalia lakn pia waliangalia theology inayofundishwa humo kama haiendani na theology ya rest of the book waliitupia kule
Kwamfano theology ya book of Enoch ni very strange na iko tofaut na rest of the bible...but hivi vya OT wana wa Israel walikuwa wanachambua na kuvitunza vile authentic,,,,,
All in all keep in mind shetani anajaribu kuingizia mafundisho yake ili kupotosha watu...beware
kamwe biblia haijawahi kusema dunia ni duara as globe, ila ni duara kama disc! hivi ndivyo wanasayansi hata wa sasa walivyothibitisha, na kufuta uongo uliopenyezwa kwa miaka mingi kuwa dunia ni duara linalozunguka mile 1000 kwa saa.None sense!Biblia kwenye sayans ya leo ime fail sana kwa sayans ya kawaida kabisa...kina sehem inasema dunia ni duara kuna sehem inasema dunia tambarare ukikubaliana na hoja zote inamaana dunia ipo kama disc.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo kwanini wana waisrael hawakukiweka kwenye biblia ya kiyahudi?mkuu, kitabu cha henoko kimewiana na vitabu vya biblia kwa kiwango kikubwa sana mzee. pitia tena.
Nimekuelewa mkuu sasa basi kama kwa mfano Book of Enoch ipo strange ni kwanini hao church fathers wakiache kitabu cha Yuda kwenye Bible ambacho kimenukuu baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoch??Sababu(upande Wa new testament) ni source of information... Wale church fathers walipokea mtu aliyekuwa direct mwanafunzi wa yesu au alijuana nao first hand bila hivi hata kama kitabu chake kinasound aje hawakutaka hata kukisoma...hii ndo ilikuwa criteria ya vitabu vya NT
Upande wa OT pia hiko kitu waliangalia lakn pia waliangalia theology inayofundishwa humo kama haiendani na theology ya rest of the book waliitupia kule
Kwamfano theology ya book of Enoch ni very strange na iko tofaut na rest of the bible...but hivi vya OT wana wa Israel walikuwa wanachambua na kuvitunza vile authentic,,,,,
All in all keep in mind shetani anajaribu kuingizia mafundisho yake ili kupotosha watu...beware
Sina haja yakuvisoma hivyo sabab quran inajitosheleza....Kuzidi sana nitasoma Sunnah.Kutajiwa vitabu hivyo hainamaana natakiwa kuwa navyo mana vishachakachuliwa.maelezo yako si kweli mkuu, kurani kamwe haijitoshelezi na ndio sababu hata wewe hapo bado unakaririshwa tu kuwa kuna Torat, Zaburi na Injili lakini nikikuuliza nitajie hata aya moja iliyoko kwenye injili huna kwakuwa hujui lolote kuhusu vitabu hivyo. Kama naongopa nikosoe kwa kuniambia Injili kipo wapi, kinasomwa na nani na mfano wa aya yake ni ipi? Fanya hivyo na kwa Zaburi na Torat pia!
Ndio maana kwenye Qur'an huwezi kuona makosa mengi kama kwenye biblia ambayo ni ya wazi sana kwenye agano jipya,, najiuliza tu kwanini waislam hawana agano jipya inamaana wao hawakuwa na agano before?
wee ni mjinga sana,hata huo usilam huujui.Sina haja yakuvisoma hivyo sabab quran inajitosheleza....Kuzidi sana nitasoma Sunnah.Kutajiwa vitabu hivyo hainamaana natakiwa kuwa navyo mana vishachakachuliwa.Mimi kutajiwa hivyo vitabu ni ili kufaham kwamba vilishawah kutoka zama za mitume waliotangulia na yanipasa kusadiki hayo.Naifaham Biblia ambayo imetengenezwa kwa kuchanganywa sehem za vitabu hivyo na kwa kutolewa na kuongezwa waliyoona wao yanafaa kuwepo.Zaidi yakupasa uzijue matoleo (version) ya iyo biblia na utajua kipi kimeongezwa na kipi kimetolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeee umepanic eee...Embu taratib tuanzie hapa..Ni nani anayelingania Injili katika waislamu,namaanisha nataka kumjua uyo shehk alinganiaye injil,kama utakuwa na video au audio walau maandishi kama ushahidi wako itakuwa vyema zaidi.Huenda ukakosa huo ushahidi basi nipe rejea uyo shehk anakoegemea.wee ni mjinga sana,hata huo usilam huujui.
wenzako wanapolingania injili wanamaanisha,wewe unakuja kusema huna haja ya kusoma maana quran imejitoshereza,wewe ngamia kweli rafiki yangu.