UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarabu ni asili ya waislam.ndio umeanza nayo hapo juu.Eeee umepanic eee...Embu taratib tuanzie hapa..Ni nani anayelingania Injili katika waislamu,namaanisha nataka kumjua uyo shehk alinganiaye injil,kama utakuwa na video au audio walau maandishi kama ushahidi wako itakuwa vyema zaidi.Huenda ukakosa huo ushahidi basi nipe rejea uyo shehk anakoegemea.
Nikupe darsa kidogo mjinga mimi
Ipo iviiii katika nguzo za imani katika uislamu moja wapo ni kuviamini vitamu vya Allah ambavyo ni Torat,Zabur,Injili na Quran kwamba hivi vitabu vya mwenyezi Mungu vilishuka katika za mitume katika zama zao.Vitabu vyote ivyo vya mwanzo wanaadamu wametia maono na fikra zao na kuzusha humo yasiyokuwepo na kutoa waliyoona hayaendani na maslahi yao.Allah alipotumiliza Quran ni ili kulisafisha neno lake na kisha kuilinda dhidi ya mikono ya wanaadam.Na quran imekusanya yaliyo katika vitabu hivyo na kuotoa muongozo mpya ambayo Quran ndio Chakufuatwa baada ya hivyo vingine kuharibiwa.Mimi kama muislamu yanipasa kuamini kwa kweli kuna vitabu hivyo vya awali lakini sio kuvifuata tena katika hukumu na mafunzo wala rejea yoyote humo bali yanipasa Kufuata Quran na Hadithi kama rejea ya mambo yote.
Labda pia nikuage kwa kisa hiki zama za mtume.
Sijakuelewa mkuu umesimamia pande ganiTutasemezana mengi lakin ukweli ni huu: BIBLIA, QURAN na VITABU VINGINE VYA MAFUNDISHO YA IMAN, ni mkusanyiko tu wa sheria, hekima na busara katika simulizi na matukio vikilenga kuweka mising ya pamoja na imara namna bora binadam awe na mahusiano bora kat yake, na watu, na mazingira pamoja na Mungu.
Suala la Mungu mwenyew ndo alishusha ni katika tu kuvipa nguv ya kuaminika kwazo na kutopingwa kirahis hizo sheria na masimuliz. Kifup ni CODED NORMS. za mahali na nyakati. La binadam kama mnyama ingekuwa ngum kujamiiana vizuri. Uasi ungezid. Watawala pia wasingepata pa kuanzia kuwamudu watu. Asiye na HOFU hatawaliki.
Sipo kuisubiri thanks yako najua hilo nigumu kwako hasa ukiwa na kiza na chuki moyoni mwako.Nashukuru huna point tena baada ya kukukrash japo hutaki na huwezi kulithibitisha hilo.Zaidi katika post nimeona kubwabwaja tu kusiko na mashiko.Taarabu ni asili ya waislam.ndio umeanza nayo hapo juu.
Umegizwa na nani kuitambua injil ambayo imachakachuliwa,kww akili hizo hizo za kiislam,unadhani ni kwanini umeorodheshewa vitabu vyote pamoja na quran,ambayo unahisi imetimia!!
Tuliza akili ndipo ujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizungumkuti...
YOHANA 21:
24 Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli.
Haya semeni mwandishi wa maneno hayo ni nani?
Na kwa kawaida Mapadre wa Kanisa Katoliki huwa hawajibu collections from the web!Hata wakikoment X 1,000 hawawezi kujibu hoja zako zaidi ya kusema ni suala la kiimani/fumbo la imani
Sasa imani gani inakuwa na mafumbo kama maneno ya kwenye khanga ?
Kwa swali la kwanza: ni tatizo la kufasiri kutoka lugha moja kwenda nyingine: angalia tafsiri hii; 15So Jacob went down to Egypt, where he and our fathers died. 16Their bones were carried backd to Shechem and placed in the tomb that Abraham had bought from the sons of Hamor at Shechem for a price he paid in silver. (Acts 7:15, Berean Bible version).Well and good basi tukiamini biblia ni kwa ajili ya waumini na sio akina sisi "makafiri" je Roho mtakatifu aliwaongoza hao watafsiri/waandishi wa biblia kwanini zikinzane??
Mfano niliuliza Yakobo alizikwa wapi?? Stephano na Musa wanaeleza tofauti kabisa
Mwanzo 50
13 kwa kuwa wanawe wakamchukuwa mpaka nchi ya Kanaani, nao wakamzika katika pango ya shamba la Makpela, iliyo mbele ya Mamre, aliyoinunua Ibrahimu pamoja na shamba kwa Efroni Mhiti, pawe milki yake pa kuzikia
Matendo 7
15 Basi Yakobo akashuka mpaka Misri; akafa yeye na baba zetu;
16 wakachukuliwa mpaka Shekemu wakazikwa katika kaburi lile, ambalo Ibrahimu alilinunua kwa kima cha fedha kwa wana wa Hamori, huko Shekemu.
Je ikiwa ni Roho mtakatifu kweli aliwaongoza kwanini wakinzane alipozikwa yakobo??
2. Niliuliza tena na bado sijapata jibu mpaka sasa.... Ni biblia gani halali kutumika kwa nyie wafuasi...je ni NIV au KJV yaani KJV imekuwepo kwa miaka kama 400 sasa ila mwaka 1970 NIV ikasema KJV ilichakachuliwa hivyo wakaja na biblia mpya ambayo imefuta maneno 64,000 kutoka KJV pia imefuta mistari mingi zaidi ya 30 na sura kibao zimepunguzwa je ipi ndio biblia sahihi ?? Na kama ni NIV ndio sahihi ina maana kwa miaka 400 tulikuwa tunafundishwa kwa biblia feki?? Na kama KJV ndio sahihi kwanini mmeruhusu NIV kuchapishwa
View attachment 855373
Ntashukuru ukinisaidia hapa
Kuhusu swali la pili: huwezi kusema KJV ni "feki" hapana hata kidogo. kama ulishawahi kutafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingie, hata kama ni kiswahili na lugha ya kabila lako kuna mambo nitakayoyaeleza utaelewa kirahisi, hilo ni moja la pili ni kukua au kubadilika kwa lugha. kiingereza cha 1600 ni tofauti sana na hiki cha leo KJV imeaanza kuwa ngumu kueleweka na watu wa kizazi hiki hivyo tafsiri nyingine ilikuwa ni lazima.Mkuu nimekuelewa sana na nimependa ulivyowasilisha mada bila matusi,kejeli na jazba kama wafia dini wengine wa humu JF for that nakuheshimu sana
Sasa ningeomba unieleweshe now that umeniaminisha kuwa biblia haikinzani na ni halali kabisa (okay at least kwa sisi tusio scholars) je kati ya toleo la NIV na KJV lipi ni halali na lipi ni batili???
yaani KJV imekuwepo kwa miaka kama 400 sasa ila mwaka 1970 NIV ikasema KJV ilichakachuliwa hivyo wakaja na biblia ya tafsiri mpya ambayo imefuta maneno 64,000 kutoka KJV pia imefuta mistari mingi zaidi ya 30 na sura kibao zimepunguzwa je ipi ndio biblia sahihi ?? Na kama ni NIV ndio sahihi ina maana kwa miaka 400 tulikuwa tunafundishwa kwa biblia feki?? Na kama KJV ndio sahihi kwanini mmeruhusu NIV kuchapishwa.
View attachment 855376
Kwani Freemasons walianzia Skotland. SourceFreemasons ndio jibu maswala yote ya huu Uzi...
Karne nyingi zilizopita wamisionary walipeleka Dini ya Kikristo Skotland..
Waskotish,walianza kuiona dini waliyopekewa ni ya uongo,hasa pale King James alipopinga kitabu cha biblia cha Wakatolii(Wataliana),na kuandika chake mwenyewe..
Baadhi ya Waskotish walipinga Dini ya Kikristo,walipinga kuwa Mungu ni Binaadamu,na kuunda gurupu la Siri liloitwa Freemason (wajengaji).
Freemasons wanaoitwa "anti Christ", Yani wanaompinga Yesu.,Hawa watu walisakwa na kuuliwa kama wanyama
Msimamo wa Freemasons ni kuwa kuna "Master universe",yani kuna Muumba,Muumba sio Binaadamu, sio Yesu
Lakini,anyway dini ni imani,imani ya mtu inafaa kuheshimiwa