Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Tuhoji na Quran ilivyoandikwa sio biblia tu!!!Au una chuki binafsi na wakristo mdogo wangu??????
 
Mkuu nini hatima ya Qur'an kama imewahi kuchakachuliwa na MUDI na issues zake za kukopi na kupesti??????WEWE NIA YAKO NI KUIDHARIRISHA BIBLIA TAKATIFU!!!!!
 
Sasa wewe ni mfuasi wa MUDI na umeanza kutusalimia kwa Lugha ya kiarabu basi tayari tushajua mlengo wako!!!NA SISI PIA TUNAJUA MUDI ANA STORI ZA KUUNGA UNGA!!!UNAJUA MTUME NI MTU WA KUAMINIKA SANA HAPASWI KUJIKANGANYA KWENYE MAELEZO YAKE!!!!SISI HATUMUAMINI MUDI NA WEWE HUMUAMINI YESU BASI NGOMA DROO!!!!TATIZO LIKO WAPI????
 
Kuna mahala umesema kwa mtazamo wako Quran ndio kitabu sahii!!!Wewe lengo lako uwakosoe wakristo afu sijui utafaidika na nini????
 
Hiki ni kitabu kisichokua na shaka ndani yake na ni muongozo kwa wamchao mwenyezimungu (Qur an),toka enzi hadi ss kiko vilevile na wanaojaribu kukibadilisha wanapata tabu saana
Hiyo ni imani yako usitulazimishe na sisi kuamini!!!!Kwetu biblia TAKATIFU ndio kitabu cha Yehova hatumjui hiyo Allah
 
Uongo wako ni mkubwa na wala hausaidii chochote,hauleti madhara yoyote na kadha wa kadha
 
Upo sawa ila usilazimishe watu maoni yako wayakubali!!!!!Kwa mfano mimi Mungu wangu ni Yesu simujui huyo allah na sina tatizo na dini za watu wengine!!!!Sasa mdogo wangu zito kakosea kama anataka kuangalia mapungufu ya vitabu vya dini asishambulie tu wakristo aseme na waislamu pia na wabudha na wahindu!!!Sio aegemee upande moja!!!!Sasa yeye mlengo wake kashajiweka wazi hivyo lazima ataegemea upande mmoja
 
Hakuna mashaka yoyote kuhusiana na biblia,Ni watu wapumbavu tuu ndio wanatafuta shida ambazo hazina maana na upotevu,Mungu wa biblia Ni practical God na anapatikana ukiamini ,hatuamini juu ya Mungu wa kihistoria mwenye kujikanfanya Bali Ni Mungu mwenye nguvu na uweza,biblia Ni mkusanyiko wa mafunuo ya watu waliotembea na Mungu Zama mbali mbali,kanuni za Za Mungu zipo specific kwa watu wake kwa wakati husika (era)nyakati hizi kanuni zinazotuongoza Ni za agano jipya ingawaje tunapata vitabu vya agano la kale Kama rejea ya kuangalia namna watu wa Mungu walivyooenenda lakini hatutumii kanuni zao nyakati hizi.kwa hiyo vipovitabu ambavyo haviwezi kuwa applicable nyakati hizi Tena ijapokuwa Ni vya kweli kwa wakati wake.Kwa hiyo wakrusto hatuna shaka yoyote na neno la Mungu kwa kuwa Mungu wetu yupo practical sana anajidhirisha tukikiamini neno lake.
 
Kumbuka kuwa biblia haitumiki msikitini na Kuna wapumbavu Kama wewe waliipingakwa vitendo zaidi ya miaka 2000 still bado ipo,still bado watu wanaamini,hicho kitabu chako unachooona hakina shaka kimenakiliwa kutoka kwenye biblia na walevi.
 
Kuna mahala umesema kwa mtazamo wako Quran ndio kitabu sahii!!!Wewe lengo lako uwakosoe wakristo afu sijui utafaidika na nini????
Mimi sio muislam Sasa kivipi Tena niseme Quran ndio kitabu sahihi? Tatizo lenu mtu alileta mjadala juu ya Biblia automatically anageuka Muislam!!!!
 
Mkuu nini hatima ya Qur'an kama imewahi kuchakachuliwa na MUDI na issues zake za kukopi na kupesti??????WEWE NIA YAKO NI KUIDHARIRISHA BIBLIA TAKATIFU!!!!!
Hilo swali fungus Uzi wake wataalam wa Quran watakujibu Mimi naijua Biblia pekee
 
Mimi sio muislam Sasa kivipi Tena niseme Quran ndio kitabu sahihi? Tatizo lenu mtu alileta mjadala juu ya Biblia automatically anageuka Muislam!!!!
Acha utoto mdogo wangu!!!Pale kwenye uzi wako Mwisho ni ulisemaje au uliandikiwa huu uzi????Kwa mtazamo wako kitabu sahii ni.........!!!!!
 
Hilo swali fungus Uzi wake wataalam wa Quran watakujibu Mimi naijua Biblia pekee
Unaona majibu yako mdogo wangu!!!Maswali yangu fangasi ila maswali yako sio fangasi?????Hapo unnajionyesha wewe ni mtu wa mlengo gani!!!!!Humjui biblia ila umesoma biblia kwa lengo la kuwakashifu wakristo!!!WE ARE VERY PROUDLY CHIRISTIAN NA SISI HATUWEZI KUWA WAISLAMU MPAKA KUFA MDOGO WANGU Hata ukosoe BIBLIA kiasi gani na hatumtambui MUDI NA Allah sisi tunamtambua YESU TU MUNGU WETU!!!Kabla yako walikuwapo wengi tu mdogo wangu
 
Waislam hatuwezi kusoma Bible ila tutasoma Injili, zaburi, taurati, na Qur'an tu. Sisi hatujui na wala hatuamini kuwa Bible ni kitabu cha Mungu.
Hata sisi hatuamini hatutaki wala hatujui kama MUDI NA ALLAH WANATUHUSU NA QURAN ni kitabu cha Mungu WETU (JEHOVAH)
 
Mi naomba nielekezwe tu namna ya kupata bikra 72
 
Ningependa kujua nani wakunithibishia kama biblia siyo story ya kufunga au composed novel mixed with true events plus fictions wakuweza kunielekeza kindaki mdak wa haya mambo
KAKA na mimi pia ningependa kujua nani wa kunithibitishia kama KAMA MUDI NA QURAN SIYO STORY ZA KUTUNGA AU COMPOSED NOVEL MIXED WITH ARABS TRUE EVENTS PLUS FICTION!!!!ANZA WEWE KUNIELEWESHA NA MIMI NITAKUELEWESHA KAKA
 
NIV ni kitabu batili cha biblia na wakristo wote wanatakiwa wazitupe kwenye dustbin au zipelekwe kwenye vijiji visivyo na maji ya kutosha kwa ajili ya kuchambia....Scholars wote walioiandika (New International Version) mkristo una haki ya kuwajua pamoja na tabia zao chafu,,zaidi pia wafadhili wa kuandika hio biblia ni watu wasio sahihi,,,kila mkristo awafatilie ili ajiridhishe kuhusu njama na mwenendo wao ili kuitupa chooni hii version.KING JAMES VERSION ni biblia sahihi ilioandikwa na schollars sahihi wakati bado ulaya kukiwa na hofu ya MUNGU.
Hivyo vitabu kama kitabu cha yashari,,enock,,esdras,,judith,,tobith na vingine vingi vya kihistoria havina nafasi katika biblia yenye lengo kamili la Imani maana vimejaa mashairi na historia isio na faida katika maisha ya kiroho na kiimani kwa mkristo makini aliemuamini YESU KRISTO.Ni vitabu vizuri kwa ajili ya kufundishia darasani.

Mfano miaka michache imepita serikali ya South Afrika imeingiza mtaala wa uchawi katika mtaala wake wa elimu ya juu,,,degree,,masters,,phd nk.Sasa sitoshangaa serikali ya Afrika ya kusini kukitumia kitabu cha enock kama reference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…