Dini ilileta vip ahueni wakati Hadi leo mkristu hawezi kuolewa na muislam ,watu wanajitoa mhanga wakijipa moyo kuua makhafir (ambao si wa dini yao ) unahesabiwa haki ,... Bado mkristu na muislam hawaezi kushirikiana kwenye mambo mengi kwa sababu ya tofauti zao ,mmoja anaona ndio Ana haki na pepo kushinda mwingine automatically anamuona mwenzake wa shetani yeye Ni wa Mungu ,... Bado hata uingiaji wa Christianity iliingia kwa crusade (Kama wewe si mkristu kipindi hicho ulikuwa hupew haki zako za msingi as human being ) ,Islamic ilifanyika jihad kuusambaza halafu unasema dini ilileta ahueni .....
Mambo ya uchawi yalianza kushika Kasi na kuonekana ushenzi baada ya dini kuingia (wakiaminisha uchawi Ni ushetani na kuanza kuwapiga Vita wanaojihusisha na hayo mambo ) na kiukweli watu wameanza kupata negative perception kuhusu uchawi baada ya dini kutamalaki ila uchawi haukuwa wa ajabu kiasi hicho ,..
Ishu ya laana za mapacha kuuwawa ilikuwa Ni baadhi ya iman chache Kati ya nyingi zilizotakiwa kuondolewa na kuendeleza Yale ya msingi (si Imani zote za mababu zetu zilikuwa za kutupa ,zilikuwepo nzuri za kuendeleza Kama part ya tamaduni zilizokuwepo )
Islamic Ni tamaduni za kiarabu
Christianity ilitokana na tamaduni za Western Europe huko
Shiva na hindu Ni tamaduni za Asia
Hata hapa kwetu tungekuwa na nguvu ya kuweka tamaduni zetu za kisukuma mf. Au kihaya n.k tukachambua mazuri na kuya publish na kuyaingiza dunian kwa nguvu zingekuwa Ni dini kubwa tu dunian ndicho ambacho waarabu na Europe walifanya
Kila mtu na arudi kwenye tamaduni zake (Islamic na Christianity sio tamaduni zako muafrica hazikuhusu )