SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Hapo mwisho umenikumbusha mbali sana na kuna ukweli haswa
 
Hapo mwisho umenikumbusha mbali sana na kuna ukweli haswa
Kipindi nasoma chuo kuna jamaa wawili nilikuwa nasoma nao wote wanavuta bangi mmoja akivuta anarap sana yaani anakuwa mwanahip hop anachana kinoma😀😀mwingine aliongoza module moja matata na muda wa kujisomea uwa anapiga kwanza kaya aka medication
 
Kipindi nipo sec kuna ndugu wawili mtu na kakaake......Dogo mpenda dini haswa kila aendapo na biblia ijumaa jioni anafunika kitabu ni maombi hadi jumamosi,Kaka mtu yeye ni bange na biashara ya samaki haswa ...shule kwenda ni nadra sana na akienda ni saa nne wakati wa break anaondoka saa sita anapohisi njaa.....siku moja alitusimulia ratiba yake kuwa asubuhi tunapopanda class maana tulikuwa dom yeye huenda kwao maana palikuwa karibu na dom kijiji hicho hicho ,,huchukua baiskel yake na kuzama ziwani kutega samaki baadae huenda sokoni kuuza... kuonana ni pale tunaporudi dom ...usiku tulikuwa baada ya kula sisi husoma kidogo hadi saa nne usiku tunaenda kulala yeye hutumia muda huo kuamka usiku kuvuta mjani na kuanza kusongoka hadi alfajir na mapema.....,,,siku ikitokea tukaenda naye class teacher wa history hugeuka mwanafunzi alikuwa anasimulia hizo vita za ukoloni kama vile alikuwa ni chief enzi hizo....
Final results NECTA form 4.....Kaka mtu mla bange Division 1....Dogo zero iliyochangamka....
 
Hapa haujaja kufafanua, umekuja kusifia bangi [emoji706]
 
Mbona wala ndumu wa hapa kwetu macho makubwa,sura inatisha,alafu wakorofi,huwa bangi sometimes inaharibu maisha kuliko pombe ,haina tofauti na sembe
 
Hao hawaogopi mauza uza ya makaburini na wala hayawezi kuwatokea mchawi wao ni polisi tuu!
 
Mbona wala ndumu wa hapa kwetu macho makubwa,sura inatisha,alafu wakorofi,huwa bangi sometimes inaharibu maisha kuliko pombe ,haina tofauti na sembe
Wee! usiifananishe bangi na sembe ushawai kuona mbwia unga anafanya kazi ngumu??? Hata reasoning capacity ya mvuta bange haiwezi kuwa sawa na ya mbwia unga!
 
Nishajaribu bangi nikaona dunia inageuka.

Bangi si kwa kila mtu kama ilivyo pombe na sigara.

Bangi inawehusha kabsa. Jihadhari.
 
Wavuta bangi mnajipa moyo na kujidanganya! Sijaona jina hata moja la wavumbuzi waliokuwa wavuta mibange achilia mbali watu kibao tunaowafahamu waliopata matatizo ya akili na wengine kuwa machizi kwa sababu ya bangi
 
Je kuna ushahidi wowote kuthibitisha hii hoja?
Mkuu, bangi Kama unaimudu itakufanya uwe very creative!

Nilisoma shule na msanii mmoja maarufu wa bongo fleva (simtaji) wakati huo ndo alikuwa anaibuka ana nyimbo kali ambazo hazichuji na zinaelimisha Sana.

Huyu msanii Ni classmate wangu ni bangi mtu usiniulize nimejuaje
 
Kama ni kweli haya uliyosema Jamaika leo ingekuwa nchi ya mfano kimaendeleo na kifikra na wala hakuna mvumbuzi yoyote aliyetokea kwenye hii tasnia ya Bangi.
Nani aliekuambia Jamaica wameruhusu bangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…