SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Dodoma kuna ziwa kweli
 
Barikiwa sana Kayaman
 
Tatizo mnanunua bange mjini
Mie nafuata bange vijijini nanunua hata debe tatu naweka ndani mzigo pure ambao haujapigwa mix na madude
Upo wapi bro. Nije nikutembelee Kutest mitambo.
 
vp kuhusu Moshi wake madhara kwenye mapafu(cancer)?
 
Toa negativity zake kama akina chid benz
 
Kitambo sana naipigia debe ihalalishwe TZ.
 
Mimi ni mstaafu wa bangi.
Nilianza kuvuta.
Nikahamia kusafirisha baadae nikawa pusha.

Nikastaafu.

Nihitimishe tu kuwa bangi ni siyo mmea mzuri kwa afya ya akili.

Unataka kuchangamsha kichwa tafuta kvant yako alafu shtua mdogo mdogo no stress yaani..

Ila bangi hapana kwa kweli.
 
Jamaica si wana reggae na roots zake ambayo ndo imeajiri vijana, Bob marley si uyo anatambulika dunia nzima , tusikalili genius lazima awe amesomea kitu fulani chuo, ata Marley alikuwa genius

Usain bolt mjamaica.
Raheem sterling mjamaica
 
Hii thread hii imeenda kinyume na matakwa ya kitanzania haina maadili ya kitanzania kwa kifupi hii thread imekiuka sheria za kitanzania, Tanzania inapinga matumizi ya bangi wewe unatetea matumizi na unaipigia promo bangi si ndio brother kaka
 
Ina semekana ndio mmea ambao hawa aliutumia akamshawishi na Adam si umeona kilichotokea jamaa faster waligundua kuwa wanaishi na wanyama wakati wao ni binadamu wakaamua kusepa Eden wakaingia mtaani wakagongana na ndio mimi nawewe leo tunadunda chanzo ni huo mmea,Aisee mleta mada njoo uchukue Debe la maharagwe huku uyolr umepiga ikulu leo hongera sana.
 
Hii thread hii imeenda kinyume na matakwa ya kitanzania haina maadili ya kitanzania kwa kifupi hii thread imekiuka sheria za kitanzania, Tanzania inapinga matumizi ya bangi wewe unatetea matumizi na unaipigia promo bangi si ndio brother kaka
Hata kilichoandikwa kinasadifu akili za bangi .
 
Marijuana was initially made illegal in 1937 by Harry Anslinger, the first FBI director.

He claimed that black people and Latinos were the primary users and it made them forget their place in society.
 
Joseph Mbilinyi
 
Tatizo uchakachuaji, madogo kitaa wanakua machizi kwa bangi fake.

Mi nikipata kitu og ntapiga ila hawa mapusha wa kitaa uongo mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…