SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Smoke weed eat pussy
Ukiwa maskan unapuliza kitu cha sativa hakikisha huvuti peke yako piga puff puff alaf pass kwenda left siku zote blunt hatuisambazi kwenda kulia zingatia hilo unavyo kosea masharti ndo jinsi unavyo kiuka miko unakuja kudata unasema kush mbaya kumbe hujui misingi yake
Ufafanuzi pls hapo unaposema tembeza kuanzia mkono wa kushoto mkuu,hii ndio naisikia kwako
 
kwasababu viongozi wao hawavuti
Kama ni kweli haya uliyosema Jamaika leo ingekuwa nchi ya mfano kimaendeleo na kifikra na wala hakuna mvumbuzi yoyote aliyetokea kwenye hii tasnia ya Bangi.
 
Jamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
mara ya mwisho lini ulikua jamaica isije kuwa hata hujui iko upande gani
 
Bob maley alikuwa akipiga kijiti sana, mbona alikufa kwa cancer?
Dudu baya anakula kijiti kwa sana, mbona kapuku a.k.a. hohehayen bin choka mbaya?
 
To be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.

Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
[emoji109] ndo maana nakukubali
 
Back
Top Bottom