hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
,[emoji16][emoji16][emoji16]Jaribu kutumia siku moja boss, kuna watu hadi wanakufa hawajajaribu sijui wataenda kumueleza nini Jah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,[emoji16][emoji16][emoji16]Jaribu kutumia siku moja boss, kuna watu hadi wanakufa hawajajaribu sijui wataenda kumueleza nini Jah
Ufafanuzi pls hapo unaposema tembeza kuanzia mkono wa kushoto mkuu,hii ndio naisikia kwakoSmoke weed eat pussy
Ukiwa maskan unapuliza kitu cha sativa hakikisha huvuti peke yako piga puff puff alaf pass kwenda left siku zote blunt hatuisambazi kwenda kulia zingatia hilo unavyo kosea masharti ndo jinsi unavyo kiuka miko unakuja kudata unasema kush mbaya kumbe hujui misingi yake
Hizo ni imani tu za uongoUfafanuzi pls hapo unaposema tembeza kuanzia mkono wa kushoto mkuu,hii ndio naisikia kwako
Kama ni kweli haya uliyosema Jamaika leo ingekuwa nchi ya mfano kimaendeleo na kifikra na wala hakuna mvumbuzi yoyote aliyetokea kwenye hii tasnia ya Bangi.
mara ya mwisho lini ulikua jamaica isije kuwa hata hujui iko upande ganiJamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
Rip LangaNdani ya msitu mnene, nachambu nanyonga kisha navuta,
Ganja navuta, pamba nanyuka, sio mpk niombe kwanza ruksa
Ganja nyonga mwenyewe, usimuamini pusha, atakunyongea fafa akuambie cha arusha
Langa...Ndani ya msitu mnene, nachambu nanyonga kisha navuta,
Ganja navuta, pamba nanyuka, sio mpk niombe kwanza ruksa
Ganja nyonga mwenyewe, usimuamini pusha, atakunyongea fafa akuambie cha arusha
naona pale kwao tipsy wamechukua km ofcLanga...
Ila anatemaga madiniBob maley alikuwa akipiga kijiti sana, mbona alikufa kwa cancer?
Dudu baya anakula kijiti kwa sana, mbona kapuku a.k.a. hohehayen bin choka mbaya?
Hizi zinaitwa edible weed kupata bongo nyosoMnanitamanisha nijaribu.
Naskia kuna cookies zake zinapatikana wapi ? Maana kuvuta sitaweza.
[emoji109] ndo maana nakukubaliTo be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.
Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
100%luck dube alikuwa babylon,
rasta asievuta mkalidoza..
hivyo edit hapo.
afu bangi pori ndo nzuri hiyo ya mike tyson kwenye greenhouse ni soft sana.
KumbeBanghi yenye hayo yoote siyo hiyo ya mamoshi inayowafanya vijana kulanduka! ni MBOGA yaani majani mabichi ya bhangi kupikwa au kuchemshwa kunywewa kama chai na kuliwa kama mboga