Tetesi: Siri imefichuka CUF

Dhana ya usaliti ukianzisha haikuachi kamwe labda siku ukiamua kutubu, Seif alimsaliti mzee Jumbe, laana ya usaliti itamwandama mpaka siku atakapoingia kaburini.
 
Yaani 98% kwa 2% bado tunaleta majungu tena? 446 kwa 14 bado haitoshi tunendekeza majungu
Tena hata hao 14 nina wasiwasi nao,huyu alitakiwa apate zero kabisa. Lipumba anatumiwa na lumumba, mission failed
 
Nonsense
 
Vijana wa ccm kama hamna kazi si muende geza ulole mkalime
Kuliko kupiga fitina hovyo hovyo
 
Vijana wa ccm kama hamna kazi si muende geza ulole mkalime
Kuliko kupiga fitina hovyo hovyo
Fitina zenyee hawawezi kuzipanga kizuoni ili angalau zioneshe uhalisia! wanaandika vitu hata mtoto wa darasa la pili anawezakugundua kama ni uongo!!!!!!
 
acha hizo Lipumba njaa ndiyo unamsumbua ile Pesa aliyopewa na Membe akatoroka imeisha sasa kaja na mladi wa kula Pesa za CCM kisha kwenda CUF kuvuruga chama hana lolote wala hana nguvu ndani ya CUF labda awanunue wanachama Kwa Pesa aliyopewa juzi .
 
Acha uongo. Unapata faida gani?
 
Fitina zenyee hawawezi kuzipanga kizuoni ili angalau zioneshe uhalisia! wanaandika vitu hata mtoto wa darasa la pili anawezakugundua kama ni uongo!!!!!!
Lipumba kichwani hana Taaluma ni profeselii yupo Kama profesa maji marefu , Dili zake za siasa ni za kishamba sana , kageuka kuwa Dalali wa siasa anakula Pesa Kwa kazi ya kuvuruga Ukawa , njaa itamkondesha Safari hii , Lizabon kamgeuza mladi anamchochea wanachukua Pesa za CCM Kisha wanagawana
 
Endeleleni kujiongopea lipumba tayari yupo nje official wajumbe wameshaamua kwa Kura kitachofuata ni kuchagua mwenyekiti mpya tu
 
Hehehe CUF
Kujiunga na kikundi cha mafisadi na wasaka Tonge hapo ndio mwanzo wa matatizo
 
Vyeti vya Lipumba vichunguzwe maana inaelekea alifoji vyeti Akili yake Kwa sasa ni Kama darasa la pili , kwanza Lipumba ni Raia wa Congo Kwa nini haendi kwao akaanzishe chama chake huko ? na Kama analindwa Kwa nini hawamshauri aanzishe chama chake Kama anavyofanya zito kabwe ?
 
Mtatiro njaa inamsumbua ndiyo maana anatumika vibaya sana
 
Hehehe CUF
Kujiunga na kikundi cha mafisadi na wasaka Tonge hapo ndio mwanzo wa matatizo
CUF ndiyo walikula Pesa za Chenji ya Rada, bunge la katiba, ATC , NSSF , NIDA , Escrow, na miladi ya CCM hata ile ya umoja wa vijana wa CCM ? Ufisadi upi upo CUF ? Lipumba ndiyo fisadi alichukua Dola milion 1.5 toka kwa Membe akakimbilia Rwanda kununua nyumba ili afuge kikundi cha vurugu huko .
 
Story za kutunga hizi.
Lipumba out officially kapata kura 14 tu kati ya kura mia nne na ushee.
Uchaguzi wa mashaka huo, sasa hao watu 14 ndio wamevunja mkutano mkuu wa uchaguzi?
CUF mmeula wa chuya, matokeo ya kupikwa yanawatokea puani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…