Tetesi: Siri imefichuka CUF

Wamiliki wa JF,tunaomba muanzishe jukwaa la udaku,fitna na Majungu watu wawe wanaenda kutoa stress zao huko!Hii sasa ni fedheha
 
Mbona maalim alikula 3bilioni za richmonduli hamuziongelei?
 
Lipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.

Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
Kweli akili zako ziko chini ya Kiwango
 
MTATIRO AENDE KWA WENZIE AICHE CUF SALAMA
 
Lipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.

Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
Una ushahidi wa kuwa Prof. katumwa na CCM?
 
Mtatiro wa hovyo kabisa, watakiwa wamepooza njaa zake maana huku mitandaoni ni kama vuvuzela la Lowassa.
 
Ama kweli Tanzania itakuwa nchi ya viwanda , nakiona kiwanda kikuuuubwa cha uongo, umbea na uzushi hapo Lumumba katika ubora wake.
 
Lipumba ALISHAJIUZURU fullstop
 
Nimeshuhudia mkutano ule nikiwa na kazi maalum pale hatua ya kwanza hadi ya mwisho

Lipumba aliaandaa kigenge kwa ajili ya kufanya fujo kwenye mkutano.
 
Nimeshuhudia mkutano ule nikiwa na kazi maalum pale hatua ya kwanza hadi ya mwisho

Lipumba aliaandaa kigenge kwa ajili ya kufanya fujo kwenye mkutano.
Wee chadema ulifuata nini mkutano wa ndani wa Cuf? Au nyie ndiyo Redbridge mliyopelekwa kumlinda Mtatiro?
 
Mbona maalim alikula 3bilioni za richmonduli hamuziongelei?
Richmond ni ya kikwete sasa Kama alikula za kikwete angekubali Lipumba arejeshe Pumba , Lowasa Pesa hiyo kumbuka nyie mna serikali Pesa mnapata Hazina mkitaka Pesa popote mnapata mda wowote, hata mkutano Mkuu wa CCM michota mkaufanya japo CCM makao makuu walikuwa wamechalala, Usikariri propaganda za February yy analipwa kwa kubambikia Ukawa Uongo .
 
Hao ni CHADEMA ndo wanatapatapa, CUF wenyewe wanamjua Lipumba na siyo vinginevyo
Nani anamjua Lipumba zaidi ya wale ambao kawagawia Pesa alizopewa na CCM kwa ajili ya kwenda kuvuruga CUF ?
 
Nimeshuhudia mkutano ule nikiwa na kazi maalum pale hatua ya kwanza hadi ya mwisho

Lipumba aliaandaa kigenge kwa ajili ya kufanya fujo kwenye mkutano.
Njaa inamsumbua Lipumba ile Pesa milion 1.5 Dola alipewa na Membe akawakacha wenzake imeisha baada ya kununua nyumba Rwanda na ingine akala na michepuko utitiri imekwisha ndipo kabuni Mladi mpya kapeleka CCM wameamua kumfadhili sasa , madalali wa siasa wanakula Pesa nyingi kupitia mgongo wa Lipumba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…