Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona maalim alikula 3bilioni za richmonduli hamuziongelei?Lipumba kichwani hana Taaluma ni profeselii yupo Kama profesa maji marefu , Dili zake za siasa ni za kishamba sana , kageuka kuwa Dalali wa siasa anakula Pesa Kwa kazi ya kuvuruga Ukawa , njaa itamkondesha Safari hii , Lizabon kamgeuza mladi anamchochea wanachukua Pesa za CCM Kisha wanagawana
Kweli akili zako ziko chini ya KiwangoLipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.
Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
MTATIRO AENDE KWA WENZIE AICHE CUF SALAMAKisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Wewe za kwako zinakwapa tuHizi tetesi nyengine zisizokua na KICHWA wala miguu.
Una ushahidi wa kuwa Prof. katumwa na CCM?Lipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.
Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
Hao ni CHADEMA ndo wanatapatapa, CUF wenyewe wanamjua Lipumba na siyo vinginevyoUna ushahidi wa kuwa Prof. katumwa na CCM?
Hivi kwanini toka mfumo wa vyama vingi uanze Maalim Seif huwa anagombea yeye tu urais huko CUF?View attachment 385636
Kweli kuna demokrasia ndani ya CUF!!!!
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Alipozaliwa huyo Maalim, aliambiwa lazima atakuwa Rais wa Zanzibar!Hivi kwanini toka mfumo wa vyama vingi uanze Maalim Seif huwa anagombea yeye tu urais huko CUF?
Lipumba ALISHAJIUZURU fullstopKisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Wee chadema ulifuata nini mkutano wa ndani wa Cuf? Au nyie ndiyo Redbridge mliyopelekwa kumlinda Mtatiro?Nimeshuhudia mkutano ule nikiwa na kazi maalum pale hatua ya kwanza hadi ya mwisho
Lipumba aliaandaa kigenge kwa ajili ya kufanya fujo kwenye mkutano.
Richmond ni ya kikwete sasa Kama alikula za kikwete angekubali Lipumba arejeshe Pumba , Lowasa Pesa hiyo kumbuka nyie mna serikali Pesa mnapata Hazina mkitaka Pesa popote mnapata mda wowote, hata mkutano Mkuu wa CCM michota mkaufanya japo CCM makao makuu walikuwa wamechalala, Usikariri propaganda za February yy analipwa kwa kubambikia Ukawa Uongo .Mbona maalim alikula 3bilioni za richmonduli hamuziongelei?
Nani anamjua Lipumba zaidi ya wale ambao kawagawia Pesa alizopewa na CCM kwa ajili ya kwenda kuvuruga CUF ?Hao ni CHADEMA ndo wanatapatapa, CUF wenyewe wanamjua Lipumba na siyo vinginevyo
Njaa inamsumbua Lipumba ile Pesa milion 1.5 Dola alipewa na Membe akawakacha wenzake imeisha baada ya kununua nyumba Rwanda na ingine akala na michepuko utitiri imekwisha ndipo kabuni Mladi mpya kapeleka CCM wameamua kumfadhili sasa , madalali wa siasa wanakula Pesa nyingi kupitia mgongo wa Lipumba .Nimeshuhudia mkutano ule nikiwa na kazi maalum pale hatua ya kwanza hadi ya mwisho
Lipumba aliaandaa kigenge kwa ajili ya kufanya fujo kwenye mkutano.
MTATIRO aligombea UENYEKITI au alikua mwendesha kipindi